What should I do to get more likes in JamiiForums?

Hahaha
Shida ya jf kuna likes za aina nyingii!! Unaweza ukaandika point kweeli ukaambulia patupu, mwenzako akaweka emoj tuu akapata likes tano.. We achana na likes bhana hazina faida yoyote we changia mada pita hivii!!!
 
Nipo kwenye utafiti nitaleta mrejesho soon!!
 
Mm pesa ninazo kama na wewe unahitaji mawazo ya pesa njoo kwangu na kanga moko!!
 
1.Kuwa maarufu humu
2.Kuponda serikali

Ukiwa maarufu humu utapewa likes hata ukiandika upuuzi na ukiwa unaponda serikali nayo ni njia moja wapo ya kupata likes.
 
Back
Top Bottom