What should I do about this long distance relationship?

daaa yani shida....nyie mnauhusiano tu wa kuridhishana mambo ya future hapo hayapo...in te end hamna kitu hapo iwe now au baadae ita end..use your sense muachane kimya kimya tu na msome.....ndoa si utani mko in 20 af mnasema ndoa mh....someni
 
Muache kama unauhakika na haya yafuatayo
  1. Hutokuja kumpenda mbeleni
  2. Hutokuja kuona umuhimu wake siku akiwa na maisha mazuri wewe mabaya
  3. Hutokuja kukumbuka mazuri yake mnayoshare sa ivi pindi utakapo kosa faraja ya moyo wako.
  4. Kama unauhakika huyo wa dini yako ataweza kuwa na mapenzi ya kweli na wewe.
Mwisho nakutakia masomo mema huko uendako, ila jua duniani hakuna mapenzi ya dhati sanasana utapata afadhali tu, pia umri wako bado mdogo una kama wanaume zaidi ya kumi mbele ndo utajua yupi mme.
 
Kwasasa we kazania kusoma,kama ni kumuacha muache kimya kimya kwa kupunguza mawasiliano kati yenu mwisho kata kabisa
 
Mkumbushie alivokua amekukera "last year" mwambie ujasahau na unamachungu bado so muachane. Amaa?
 
20 yrs, mzazi wako anakuhangaikia maisha yako ya baadae ww unazungumzia sijui mpenz, mara dini tofauti, mara sjui nin nin!! aaarrrrggggghhhhhhh! soma binti soma shule utengeneze future yako. Na kama umeshafunuliwa huko chini ktk umri huo ulonao tyr!…………una safari ndefu sana, usisahau mrejesho.
 
Nimekuelewa. Thank you.
 
Back
Top Bottom