Hayo ni majungu ya kisiasa toka kwa washindani wake wakati huo.Shemeji yangu siku hizi sijuwezi Nikamwambia mdogo wangu aache kupiga UGALI aanze kukupikia MTORI.
Kama Kiongozi anaonekana vyema hatoweza kutenda kwa Busara na hekima yaani watakuwa na msimamo kwenye Uongozi wake kama akifanya haya:
1.Akiwa alikuwa/ana nyumba ndogo hope utanielewa.
2.Alishindwa kushika IMANI yake,huyu alibadili dini kama Mara mbili hivi.Mara ya kwanza alibadili ili apate Urais alioutaka na kama unashindwa kumwamini Mungu uliyeapa kumwamino kwanini Mungu akuaminishe kulipa Taifa lake uliongoze.Akirudi kwenye dini yake tena baada ya kuamua kyoa mke wa Pili.
Inshort hakutufaa kuwa Kiongozi, maana alishindwa kumkiri na kumuamini Mungu aliyeapa kumuabudu akaamua kutafuta Mungu mwingine wa kumuabudu lazima upigwe chini tu hakuna namna
Pasco kuna mwingine kamsifikia Hashim Rungwe baada ya kuona clip Yake ipo humu in the titleWanabodi,
Licha ya kuhudumu kwenye media ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 27!. Sikumbuki kuwahi kumsikiliza Mzee John Samweli Malecela, akizungumza live kwenye TV, kwenye social event yoyote ila leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na nimemsikiliza live.
Mzee Malecela alikuwa akizungumza kwenye kutoa vote of thanks kwenye event ya NBC kuhamia rasmi Dodoma iliyokuwa ikitangazwa live na TBC kutokea Dodoma, kiukweli kwa jinsi huyu Mzee anavyoongea, kiukweli amenigusa sana na haswa alivyo jovial at that age, but more surprisingly, jinsi alivyozungumza with a full sense of humour!.
Sii wengi wanaelewa kuwa, mtu kuwa na a good sense of humour ni kipaji!. Huyu Mzee Malecela kiukweli has a very good sense of humour, akiongea unatamani asimalize, aendelee tuu kuongea na kuongea!, huchoki kumsikiliza!. He is easy to talk to!. Sio hawa viongozi wa siku hizi, akiongea unamsikiliza kwa makini kwa heshima tuu huku kimoyo unajiuliza "atamaliza saa ngapi", huku kimoyomoyo ukiwishi "amalize haraka"!.
Kuna kipindi huyu Mzee alichukua fomu kugombea urais kupitia CCM, akapigwa zengwe!. Kwa jinsi nilivyomsikia leo, nikajiuliza "What a wasted opportunity Tanzania missed in making one of the great Statesman of Africa!.
Huyu angeupata urais wa Tanzania, angekuwa the next Africa Iconic Statesman of century baada ya Nelson Mandela!. What a missed opportunity!.
Nitajitahidi kuitafuta hii clip ili niiweke ndio labda wengi mtanielewa. akini long live Mzee John Samweli Malecela!.
Somo kwa viongozi wetu mliopo, mkiambiwa hamkujaaliwa kuwa na a good sense of humour, then mkihutubia, muwe mnatoa hotuba fupi, brief, compact na direct to the point, if you are not an orator, ukihutubia hotuba ndefu, no matter how important hotuba yako is, inaboa!. Watu wote wanakusikiliza attentively kwa heshima tuu na sio kwa interest.
Long live Mzee John Samweli Malecela!. You've made my day!.
Paskal.