Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,171
Hahaha.... Mkuu that's need two players....Multiplayer hiyo..
Hahaha.... Mkuu that's need two players....Multiplayer hiyo..
Mortal Kombat X.
Unacheza Gunship battle original au cracked?Gunship battle
Nilicheza original nikafika sehemu nikashindwa kuendelea, nikaitafuta cracked Leo namaliza kulicheza...tamu sanaUnacheza Gunship battle original au cracked?
kwa games ulizotaja naona una PS4. upo maeneo gani nikutafute uone brutality
Naomba link ya hlo cracked mkuu maana me mwenyewe orijino lilinishindaNilicheza original nikafika sehemu nikashindwa kuendelea, nikaitafuta cracked Leo namaliza kulicheza...tamu sana
Haahaaa,
Mzee niko mikoani tu.
Vipi unamtumia nani kwenye MK X?
Naona umeweka Avatar kama ya Ryu au Ken hivi?
Street fighter X tekken umecheza?
duh.
siku unakuja dar pita kwangu. utakuwa mgeni wangu rasmi.
namtumia sana Sub-Zero Cyromancer version ila nikicheza online sana sana natmtumia Raiden Thunderg\ God version na Jacqui Briggs Full Auto version.
Ryu, haswa Evil Ryu ndo my favorite character SF. anafuata Akuma na Ryu. hiyo avatar ni ya Evil Ryu. nimecheza sana Street Fighter na MK kutoka utotoni. Street Fighter X Tekken haikunivutia sana, sijui kwann wakati napenda zote Street Fighter na Tekken. SF4 kwa Xbox 360 ilinishinda, combo zilikuwa ngumu na controller ya 360 was not the best for fighting games. nikija nunua PS4 for sure nitakimbizana na SFV.
P.S this weekend Sony wanatoa PS Plus free (online), sijui kama itafika bongo au kama we hulipia (mi hulipia Xbox Live)
Nimejikuta nimekuwa addicted na MK X (Mobile Version) japo nilikuwa nalo muda ila sasa hivi ndo limenishika.Haahaaa,
Mzee niko mikoani tu.
Vipi unamtumia nani kwenye MK X?
Naona umeweka Avatar kama ya Ryu au Ken hivi?
Street fighter X tekken umecheza?