bin ladeni
Member
- Aug 13, 2013
- 56
- 13
wezi wawili wakiungua moto mbagala kwa mangaya
siwezi kuamini kama:
wanaweza kujichukulia sheria mkononi bila huruma. Pengine walichokiiba hawa vibaka wawili ni pipi huku adhabu ni kuondoa uhai wao bila huruma na hadharani wakishuhudiwa na waliowasulubu.
- viongozi wa serikali za mitaa
- wapenda mungu
- wenye utu
- wanaoheshimu haki za binadamu
- wenye kujali usilotaka kutendewa usimtendee mwingine nk
[Q
Sina tatizo na jambazi la bastola kuchomwa kwa sasa, lakini mwizi wakawaida tu ambae kanyofoa sijui cheni ama kapanda ukuta kuanua nguo uani kwa mtu; kwakeli swala la kuchomwa moto ni punishment iliyopitiliza.
hao ndio watakaorithi ufalme wa baba kwa kuondoa wauwaji wezi ...soma wakorintho 22://
Ni sawa kama tungeanza kuwachoma moto vibaka wakuu nchini kina rostam aziz, idi simba et al. Sasa mtu anaiba kuku kwa njaa kutokana na uongozi mbaya wa uchumi wa taifa tunamkatia hukumu ya kifo!hakika hujawahi kuibiwa wewe
Sure thing. Hii inaonyesha society ilivyokuwa degraded morally.......Ni wazi kwamba hao watu wazima hapo hawaoni tatizo kwa mtoto kuangalia jamba kama hilo.Na mie hilo limenishangaza sana, watoto wanatolea macho kama wanaangalia kitu cha kawaida sanaa, sijui wazazi/walezi hawaoni kama hiyo ni shida kwa watoto kama hao jamani, hata hao watu wazima tu yaani kama vile wanaangalia sinema, kwa tuliowahi kuibiwa/kuumizwa na waizi/vibaka inaumiza kwa kweli, lakini kufikia hapo ni ishu nyingine aisee, watu wana roho za ajabu mie hata kuangaliaga tu mwizi akirushiwa jiwe siwezi kabisa!
kibaya zaidi watoto wadogo wanashuhudia unyama huo
"Tumechoka, wapigwe tu"Kama wameiba wachomwe tu. Watu wanatafuta hela zao watu waibe
Usifananishe vibaka na Majambazi!! kwa majambazi kwanza mwananchi wa kawaida kumdaka ni shughuli ila walamba unga wepesi tu..