agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Ndo hao wanatuongezea mashoga sababu ya malezi ya mzazi mmoja
Watakutolea povu,mie mojawapo japo sijawahi nawazaga tu kufanya hivoHa haaa
Mkuu hawa watu kuishi nao ndani yataka moyo w Chuma.Doh.. Noma.. Kumbe unampango wako tayari.. Ha haaa
Kweli kabisa!!!Hao wanaoambiwa hivo sio wanawake ni "incubators"
Wapo wengi tu jamani tunatofautiana sana....hukuona ile thread bidada anatak bebea watu mimba kwa malipo....its part of biashara nowadays PapyKweli kabisa!!!
Mwanamke utazaaje alafu umuachie mtoto mwanaume?
Duuh!Wapo wengi tu jamani tunatofautiana sana....hukuona ile thread bidada anatak bebea watu mimba kwa malipo....its part of biashara nowadays Papy
Nimecheka mpaka nkadindishaHao wanaoambiwa hivo sio wanawake ni "incubators"
wee nizalie tuu nitamchukua mtotoUkifuatilia utagundua wanawake wanaombiwa hivi ni wenye mvuto fulani
Wanatafuta mbegu nzuri
Wanawake wabaya huwa hawapati hizi chances
Hayo ni mapepoSiku za karibuni kumekuwa na wimbi la wanaume wanaohitaji wadada wa kuzaa nao tu. Husema " wewe zaa, nitamchukua mtoto".
Hivi wanaume wa dizaini hii akili zao huwa zimekufa ganzi?
Karibuni tutiririke..