Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,139
- 2,587
Karibu sana Mkuu.
Tuko pamoja kiongozi.
Karibu sana Mkuu.
Ok, namalizia kitu then badae kidogo naweka whatsapp link nitawatag wote muweze kujiunga ili tuje tudiscuss zaidi na maswali na majibu pia tuimarishe hii plan zaidi wote pamoja because everyone atatoa maoni yake ili wote tuafikiane kwa pamoja.Nami uniunganishe mkuu
Iko vizuri sana hii idea sana sijajua nani yupo na access au ufahamu wa hizo biashara maana unajua tena biashara lazma iwe na experienced guy japo ni wazo zuri sana
Count me in na niko tayari kutoa office ya kuanzia yenye eneo la kutosha
Nimo. Mpaka kielewke. Tushapigwa ngapi mpaka tuogpe fursa. Nangoja group
Smart moves bro
Weka namba hapa yenye Whatsup na uunde kundi na huko tutajadili kwa kina
Good idea
Count me in
Ukianzisha Whatsapp Group usisite kunipelekea link, ijapokuwa sina hata 1 Million ila naamini nitapata chochote kitu.
Wazo zuri na pia una exposure
Nitajoin grup, nikielewa vizuri tutakuwa pamoja
Nakuja
Tuombe kheri! Bora hii concept kuliko ya jatu utani kidunchu
HONGERA SANA narudia tena HONGERA SANA. Hizi ndio akili tunazo taka watu wawe nazo yaani tuwaze makubwa ata kama hatuna kitu mfukoni. Binafsi niliwahi kuwaza kumiliki kampuni kubwa kabisa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ila changamoto ilikuwa kuwapata hao watu.
Umewaza jambo kubwa sana ambalo sisi watanzania hatuamini katika ushirikiano, ni wakati sasa sisi watanzania tuungane na kufanya mambo makubwa kubwa. Sio lazima utoe million 10, unaweza kuwa na wazo zuri kama huyu mdau na una mkakati mzima kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Jukumu lako tafuta watu walio serious kabisa ata kama ni 50 fresh tu muhimu wote mko makini na mmesikilizana.
Mnakaa chini na kupanga mikakati yenu mnachaguana katika nyinyi kuanzia Mwenyekiti mpaka ngazi ya chini. Huyo mwenyekiti anakuwa na muda wake wa kukaa kwenye uongozi kisha anachaguliwa mwingine katika nyinyi, muhimu kazi ziende sawa. Nimekuwa nikiona makampuni mengi ya kule Korea Kusini yanatumia mfumo huu. Watanzania tuamke hizi mambo zipo na zinawezekana kabisa.
Mkuu kila la kheri na nakuombea sana utimize malengo yako, asante sana kwa bandiko lako.
Thankyu