Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International.
Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana na lenye ubunifu wa jambo litakaloweza kuwekwa kwenye matendo na sio mambo ya kufikirika au kuiga yaliyokwisha tendeka. Your idea must novel and original!
Vijana wasomi (university graduates) mnakaribishwa. Mtaunganishwa na potential collaborators kwa usaidizi na kwa ajili ya kuanzisha start-up au kampuni ili kuendeleza mawazo yenu.
Tafadhali fikisha ujumbe kwa wengine kwani Tanzania tupo nyuma sana katika kuchangamkia fursa kama hizi.
Asante.