mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Mkuu mbona kesi nyingi tu zilizofunguliwa na CCM dhidi ya wabunge wa UKAWA CCM wameshindwa rejea kesi iliyofunguliwa Masaburi dhidi ya Kubenea, Kipi Warioba dhidi ya Halima Mdee,Wasira dhidi ya Ester bulaya.Sheria ni msumeno unakata pande zote mbili,RPC wa mwanza alivyozuia cdm wasiage mwili wa mawazo mahakama hiyo hiyo ilitengua uwamuzi wa RPC.Mahakama ya ccm alafu wenje ashinde