Wema vs the chibu's ngoma inogile

Me sijui anatoa wap ujasiri wa kusema watu wabaya wakat mwnyew n mbaya kupindukia!

Ha ha haaaaaaa hata kama angekuwa mzuri bado ingekuwa si sawa ila ndo utafanyaje wakati wanamuita tanzania sweetheart
 
Kusema mtoto wa mwenzio n mbaya ni sawa dada?

Aliandika tiffah mbaya?

Wote hao wanatafuta attention tu ili watu wawajadili hawana mpya...... na wanawajua watz wamewajadili kuanzia insta fb hadi jf........
 
@Evelyn Salt Zari nae ana madongo huyu mwanamke..Kashachukua uswahili wa Tandale
 
Attachments

  • IMG_0703.PNG
    IMG_0703.PNG
    112 KB · Views: 33
NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa

Duu Aiseee nimekupata,picha kwangu zilikuwa hazifunguki,nakubaliana na zari kabisa,watoto wote wazuri na Kama unaona mtoto wa mwenzio mbaya Zaa wa kwako ,hahaaa mpambano mkali.
 
Duu Aiseee nimekupata,picha kwangu zilikuwa hazifunguki,nakubaliana na zari kabisa,watoto wote wazuri na Kama unaona mtoto wa mwenzio mbaya Zaa wa kwako ,hahaaa mpambano mkali.
Sentesi imeishia Zaa wako mzuri "if you can" Hiyo if you can ndo tusi lilipo make anajua she can't teh teh
 
Hawataki awe huru. Ningekuwa na uwezo ningemuoa Wema kwa kweli nishaanza kumpenda
Nani hataki awe huru? Ye mwenyewe hayupo huru kabisa she is into diamond's life, siku ya show za diamond na ally Kiba bila shaka uliona post zake mara balozi wa wanyama mara wanyama wote hakuna asojua alikua anamsema diamond hivo jua tu ye mwenyewe hayupo huru na hujaamua kuwa huru na maisha yake
 
Back
Top Bottom