tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,882
- 19,664
jamani mumsameheni huyu bibi kama mnavyomsamehe Le mutuz maana Le baharia na huyu mama rika moja.
Na wamekua n kucheza pamoja
jamani mumsameheni huyu bibi kama mnavyomsamehe Le mutuz maana Le baharia na huyu mama rika moja.
Na wamekua n kucheza pamoja
Hujaona alivyomchana madame???hahahaaa
Ha ha ha, kibababa na kimamama wamecheza pamoja.
Hivi mtu mzima unakuaje n mazoea na mabinti mpka ujue cjui team dengue,itakua mama n mtoto wke wanaambiana ujinga real wema hajitambui,cku akishtuka anaweza kunywa sumu cku zote sifa c nzuri.
Ni kma tajiri ukiwa n wapambe hta ukijamba watasifia ila filisika wao ndio w kwanza kusema yule boya kala mtaji
Mama ki ukweli alitakiwa akae mbali na haya mambo ya kipuuzi ya huyu bintiye amasivyo yatakuja kumletea matatizo kama yaliyomtokea kipindi kile.
Maza gumegume limekubuhu mtu ana umri mkubwa ila hana adabu,bibie ni mzee sugu ana kamusi y matusi
jamani, pamoja na mapungufu ya tabia na malezi wema ni mzuri kwa jinsi yake, sema kajiharibu na mkorogo... kajala naye ni mzuri. urefu nao ni kigezo cha uzuri, maana wasichana wachache sana wamejaaliwa height za hivyo.
Maza ana mpododo hatari anadai hajui cream wkti mwanae kajiloweka mpka anaonekana mbibi,huyu maza chini y kapet wanadai alikua house girl wa familia y sepetu.
Bdaa y mke w sepetu kufariki ndio akasogeza house girl kua mke,
Hpo mzee alikua jaji mwz wakikaa isamilo
Hata diploma hana, achilia mbali degree, english ya academic ilimuokoa kwa kuwa anaongea kiingereza kizur ndo maana watu wanajua kasoma, alipelekwa Malaysia kusoma diploma shule ikamshinda akarudi bongo, akaingia bongo movie
Ebu tuambie wewe labda ana shahada ya mlimani, maana Tz hakuna kinachoshindikana, usikute ana degree ya uanasheria
Mmmhhh
Sina.hakika
Bt nasikia alikuwa mufungua vizibo....ndo mzee akamuona akampenda....na alikuwa na mtt tayari huko kijijini kwao....so alipowekwa ndani akamchukua huyo mtt dada ake wema ambae yupo marekani....kwa leo naishia hapa
Sasa ndo ujiulize...km kweli alikua mke mwema kwanini asingeishi na mumewe Zanzibar....lol...ila watoto wa mke mkubwa kwa mzee sepetu wameenda shule...watulivu...kuna mmoja ni hakimu km sikosei huko zenji
Hebu cheki hapa twenty4seven
Mwee hiv wema angekuwa kasoma hyu c angekuwa kwenye system!!?
Manaake baba alikuwa na jina ukizingatia bongo ni kujuana angekuwa mbali
Kweli upele humpata asiye na kucha.
Wanne wakike.wawili nje...wawili dar...aliyeolewa mmoja tu anayeishi dar..wengine mmh
Aiseeeee
Kweli uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu.
Yaani cjawahi ona uzuri wa wema zaidi ya hiyo shape...
1 sio wa baba wema, 1st born alikuja nae baada ya kuolewa na baba wema
Ila na yupo nje
Team mavi wako wapi?
Nimemsikia.....mkun.du wenye hauna hata mpasuko.Upo upo,hana v.