Wema Sepetu kapatikana na bangi

Any way ka msokoto ka bangi tena sio kete za unga wamhekapotezea siye tunataka wauza unga ma big fish.
ningesikia kuwa wamemkuta na unga hata kete moja ngeelewa
 
Nauliza tuu ...hivi mtu umeitwa police na unajua kabisa unaitiwa nini.... utaondoka nyumbani bila kuhakikisha hamna ushahidi wowote wa ile tuhuma uliyoitiwa????? Kama ni kweli nyumbani kwake kakutwa na bangi basi akili zake anazijua mwenyewe!
Fikiria hapo ss
 
Daaaahh tunapoelekea....

Mtanzania anachekelea mwenzie kufungwa bila kufuata sheria.
Ila siku yakimkuta yeye au ndugu yake atakua kutafuta huruma humu JF.

Kumbuka walianza na Mafao yenu, wakaja kwenye haki zenu za privacy, wakaja kwa haki zenu za kisiasa na sasa wanapoelekea....

Nikikumbuka matusi ya WEMA dhidi ya mgombea wa upinzani kipindi kile cha uchaguzi 2015, natamani nimwambie Jaji amfunge miaka 40 Ili iwe fundisho kwa wapumbavu wenzie.

Kina WEMA na grupu la mateja wenzie walivyokuwa wanashabikia kuanguka kwa upinzani, siwezi kuwaonea huruma kamwe! Wacha wafunzwe adabu!
wema.jpg
 
Si tulitangaziwa ni mtuhumiwa wa kutumia sembe,kumbe sembe imegeuka kuwa weeds tena,hahahaha kama weeds basi jela itajaaa
 
Nikikumbuka matusi ya WEMA dhidi ya mgombea wa upinzani kipindi kile cha uchaguzi 2015, natamani nimwambie Jaji amfunge miaka 40 Ili iwe fundisho kwa wapumbavu wenzie.

Kina WEMA na grupu la mateja wenzie walivyokuwa wanashabikia kuanguka kwa upinzani, siwezi kuwaonea huruma kamwe! Wacha wafunzwe adabu!View attachment 467892
Kwahiyo unataka kusema Godbless Lema sasa hv anafunzwa adabu kwa kukamatwa?
 
Hii ndio Tanzania.

Usipokutwa na kosa polisi utatafutiwa kosa, na mara nyingi watampa mtu kesi ya kukutwa na bangi, silaha au madawa ya kulevya ili tu wasionekane wameshindwa.
Yaaap xeee ukweli un wew uhakika aaan
 
Back
Top Bottom