Wema Sepetu: I am not a drug addict, and I am not a drug abuser (Exclusive)

Kwani mpaka makonda anafikia hatua ya kuwaita kituo cha polisi hakufanya utafiti wa kina kubaini yipi ni mhusika na yupi siyo, na kama kuna mtu ambaye ametajwa na hajihusishi na madawa anatakiwa kuchukua hatua juu ya kudharirishwa
 
Hivi wakati huyu wa sasa akitaka kuchukua kabla ya kuchukua si kina Wema walikuwa wanavaa skin tight za kijani kukatia watu mauno jukwaani ili kuwapumbaza wampe kura?
 
Kuna clip moja niliiona hivi karibuni inaelezea kuwa haya madawa ya kulevya yana class,kuna class ukitumia na ambazo ni bei ghali kidogo,hayakupeleki kiviile ila kuna haya ya class za kawaida ndio yanayoumiza vijana wetu,sasa hatujui hawa wengine inaosemekana wameitwa lakini hawajawahi kudhurika nayo, usikute wanatumia yale ya bei mbaya.
 
Mbona kama anahitaji huruma ya wananchi, nenda kajieleze huko
 
Ngoja tuone mwisho wa hii filamu ambayo staa wake ni mkubwa wa mkoa
 
Ubaya mmoja kwenye app ameanza na kesi,

Muwe mnatuchotea hizo habari kwenye hiyo App na mtuletee tuzisome tukiwa huku JF.
 
d5d27e4f9095eae7a2f9fe472eaf56e2.jpg
kwa hali hii jamani usiguse haya madawa ni hatari sikuamini kumwona komando wa ilala kawa kawa hivi
 
Back
Top Bottom