Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,913
Aliwasaidia kwenye kampeni 2015 Mama ongea na Mwanao mwambie Samia amsaidie kwenye issue ya ungaMimi nitamuunga mkono. Hongera Wema kwa hatua hiii
Aliwasaidia kwenye kampeni 2015 Mama ongea na Mwanao mwambie Samia amsaidie kwenye issue ya ungaMimi nitamuunga mkono. Hongera Wema kwa hatua hiii
Wema mwenyewe hapendi kufanikiwaBinafsi napenda wema afanikiwe.nampendaga tuu bila sababu.
Watu wabaya mbona hamumpndelei mwedhenu mwema loolllBilionea Wema.
Wema mwenyewe hapendi kufanikiwa
Kweli kabisa......mmoja anatosha kusambaza vyote hvyo.....akijiunga mmoja tu atakuwa anarip content zote then anaziupload for free youtube
teh teh teh you cant control digital copyrights
Ujinga ume take over the whole planet sasa ila kinachonisikitisha wazungu ulaya wanafanya ujinga baada ya kumaliza hatua zote za maendeleo sisi ndio kwaanza technology ina tu pull back by keeping us busy with damn f@[HASHTAG]#ing[/HASHTAG] business like upuuzi wa bongo movies