Weka usela kando! mademu wanapenda mtu dizaini hii

Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia
Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi
ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege
kwa mtu unayempenda??Hata wanafiki wakisema
umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA
NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni
zuri Posta NUNUA mpelekee..Hamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba
Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression
kwamba She is On your Mind na hilo ndo wadada wanataka....Suprise her pale asipotarajia...Mpigie
Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa
hadi ushangae... Hawa watu wanaitwa ma-PLAYER
hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba
demu wako zaidi ya hii,Wanajua Wanawake
wanapenda nini na wanawapa hicho. Wewe jifanye Msela halafu Ma-PLAYER wakufundishe Caring ni
nini. USione Couple zinadumu ukajua jamaa
anatumia heeelaaaa,walaaa..Mijisapraiz tu,demu
anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji, Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini
yeye anatakiwa kufanyaje in return
 
huwa una refers nini unaposema mapenzi?
unakuwa na vibinti vya watu, unavi*tia then unaita mapenzi?
why wawe wengi?
kwanini mapenzi kwako yaishie kwenye kuwavua chup*i watoto wa watu?
Hebu sema; yanaishaje mapenzi yako baada ya kukaa nao uchi?
Wapi nimesema nimewavua chupi? Wapi nimesema nimeachana nao? What if wamekufa?
 
Wao ni nani " na sisi ni nani ...Cha msingi ni kujikubali "" usijilazimishe kufanya vitu vingine et kisa upendwe .....unaweza kufanya yote hayo na bado ukaibiwa tu kama anakupenda, anakupenda tu
Fact...mnunulie had gar ila bado anaweza akakusalit tu,mtoa mada ana amin ktk gift kama ktu cha kudumisha upendo..NOOOO!! Issue ya true love ni akili,mtazamo na msimamo wa mtu,so usije jidanganya mtoa post...mpenz wako kama ana kuwa na furaha zaid pale ukimpelekea zawad temana nae fasterrrr
 
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia
Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi
ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege
kwa mtu unayempenda??Hata wanafiki wakisema
umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA
NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni
zuri Posta NUNUA mpelekee..Hamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba
Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression
kwamba She is On your Mind na hilo ndo wadada wanataka....Suprise her pale asipotarajia...Mpigie
Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa
hadi ushangae... Hawa watu wanaitwa ma-PLAYER
hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba
demu wako zaidi ya hii,Wanajua Wanawake
wanapenda nini na wanawapa hicho. Wewe jifanye Msela halafu Ma-PLAYER wakufundishe Caring ni
nini. USione Couple zinadumu ukajua jamaa
anatumia heeelaaaa,walaaa..Mijisapraiz tu,demu
anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji, Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini
Kuna manzi yangu nilikuwa namfanyiaga hivi vitu basi nikaja kumuacha huwezi amini ni miaka mitatu toka tumeachana lakini bado ananikumbuka kwa jinsi nilivyo mfanya ajisikie vizuri duniani
 
Kuna manzi yangu nilikuwa namfanyiaga hivi vitu basi nikaja kumuacha huwezi amini ni miaka mitatu toka tumeachana lakini bado ananikumbuka kwa jinsi nilivyo mfanya ajisikie vizuri duniani
Labda uwaambie wewe manake watu humu ni wabishi sana
 
They want that constantly that ukijisahau mwezi tu wanafuta na akijitokeza mengine akafanya inahaulika mazima. Bad enough wengine wanadhaminisha, sio kila zawadi anapokea kwa roho safi... Nishamnunulia demu wangi zawadi za maana sana tena zingine nikiwa nae anachagua, halafu havai mpaka nachukia.... Kimsingi hawatabiriki na hawajielewi... So usijikaririshe... Hawana formula hawa... Ni kuishi nao kwa akili tu... We hudumia, surprise her enough lakini anemuheshimu kitandandani wala hafanyi hayo.... Dah... Hawa watu hawa bob....
Nadhani unayozungumzia wewe itakuwa kwa gal tu wa kupotezea muda. Fanya kwa mke wa ndoa uone kama haitokuwa na matokeo.
 
Wajanja watakugongea vile vile pamoja na vijizawadi vyako.
Falsafa ya mwanamke hazifanani.
Kila mwamke kazaliea ili awe yeye. Huwezi kuwagengeralise hata siku moja.
 
Wapi nimesema nimewavua chupi? Wapi nimesema nimeachana nao? What if wamekufa?
pole utakuwa na bahati mbaya sana, kwa kufiwa huko!
pole tena kwa conclusion yangu juu ya kuvua watu vitu vya ndani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom