Weka mbali na watoto

Kuserv mafuta
Ni kweli japo ni sababu ndogo sana.
Sababu kubwa ni muda gani engine ya ndege hiyo kuweza kufanya kazi...kila engine ina muda wake wa kufanya kazi kwa ufanisi bila kuleta madhara na hata kusababisha kuungua/kulipuka kwa engine na ndegekwa ujumla.
Kila baada ya muda fulani wa kufanya kazi lazima ndege izimwe na Kufanyiwa uchunguzi wa kiufundi kabla hijaruka tena na hiyo ndiyo sababu ya kuweka meri hizo zenye viwanja ilikusogeza huduma karibu zaidi hasa wakati wa vita.
 
Ni kwa sababu zinatumika pale zinapohitajika tu... Zaidi ya hapo zinatulia kwa sababu ni gharama sana kuziendesha kutoka zilipo mpaka kwenye enea la tukio.

Ukiacha hayo... Pia hizo siyo commercial airline useme zina specific destination... Zikitumiwa kwenda kupiga/kushambulia mahali haitaletaa maana, kwamba mfano zisafiri umbali wote toka USA mpaka korea zipigie alafu zirudi tena USA kwa ajili ya reload zirudi tena kupiga ni gharama sana...

Ndiyo maana hizo meli siyo tu hutumika kuzibeba bali pia ni base station inayojitosheleza kwa kila kitu.


Cc: mahondaw

Ni kweli kabisa, zile meli inakuwa base yao, yaani sehemu ya kutokea mashambulizi. Kwenye zile meli kunakuwa na kila kitu yaani mafuta, Mabomu, na service za kila aina kwa ajili ya vita. Na USA wanazo military carrier zaidi ya 19 za kisasa zaidi na Dunia nzima kuna military carrier jumla 33 lkn kati ya hizo USA tu wanazo 19.
 
Hizi ndo za magu zilimfanya mchepuko wangu anikumbatie kwa uoga wakati naendesha gari zilipopita jana juu yangu nusura ajinyee na kunisababishia ajali kwa jinsi alivyonirukia tokea kwenye seat yake pemben4
Zina kelele sana kwakweli
 
kuna movie niliwah kuiona ikionyesha haya madege plzzz mwenye jina la movie hii anipe niitafute au za kijesh km hzii
 
Masilaha yote haya ya nini wanataka wamiliki dunia yote peke yao ili iweje kwa mfano,amani kwanza dunia hii tutaiacha kama tulivyoikuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom