Weka akiba!! Uzee ni wako pia

robbyr

Member
Apr 8, 2017
83
144
FB_IMG_1725178603648.jpg

Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema.

“Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee."

Chukua hatua!!!
 
UJumbe mzuri ila tatizo kubwa kwenye nchi nyingi za kiafrika vipato havitoshi kuweka akiba, siyo kama hawapendi kuwekeza
Umegusa kunako, mtu analipwa laki 3 matumizi ni laki 6 unatarajia nini? Bila wizi hatuendi jamaa
 
Dah baada ya kuwa nimekula hadi last dollar I earned ndio nashtukia suala la akiba.
 
Kula Maisha ukifika Uzeeni Akiba yote inaishia kutibu kisukari na Presha si bora uikandamize ili ufe umefaidi pesa zako mapema kuliko kufa na magongwa Uzee mzima
 
Back
Top Bottom