Achana na Simba.Nimeweka mdau jana kulikuwa na kigoma cha KUMCHINJA MNYAMAAA, Simba jana waliisoma namba. Yaani balaa ilianza asubuhi.
anapewa kimoja cha fasta anasahau kila kituDoh bob keshausoma mchezo, je atamwacha chura? au atadai hela na mali zake alizochunwa?
Hivi vitu vya uswahilini nomaaa kuvishabikiaaa. Subiri vitu vya masaki ndo mambo yao. Nitawaletea.Mbona comment chacheee?...team fulani bado mmemnunia lara 1?!,..hahaaaaa huu Mchezo Wa Lara Hauhitaji hasira mnasoma kimyakimya tu,....we endelea mama si tusio na team tunakubali
Wengine tunacheza ligi zote kila unachoshusha hewalaaa..Hivi vitu vya uswahilini nomaaa kuvishabikiaaa. Subiri vitu vya masaki ndo mambo yao. Nitawaletea.
Uzee mwisho Chalinze, Avatar mwisho mwaka tu.