Ushirombo JF-Expert Member Jan 22, 2013 3,558 2,703 May 17, 2015 #1 wadau kwa mwenye link ambayo naweza kudownload bongo audio gospel na music ya kawaida,plz nisaidie,niko bush nataka lau niburudike
wadau kwa mwenye link ambayo naweza kudownload bongo audio gospel na music ya kawaida,plz nisaidie,niko bush nataka lau niburudike
riziwan jumanne Member May 11, 2015 20 5 May 17, 2015 #3 Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka
Makylina Senior Member Dec 15, 2014 145 55 May 17, 2015 #4 riziwan jumanne said: Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka Click to expand... Mkuu audio zinapatikana kwny hyo program?, jina tu linaonyesha ni video
riziwan jumanne said: Danload program inayoitwa vdeorder ina kla ki2 unachokitaka Click to expand... Mkuu audio zinapatikana kwny hyo program?, jina tu linaonyesha ni video
M magamlay Member Sep 19, 2014 88 38 May 17, 2015 #5 Nimeidanload, hiyo videorder, ila ila ninapojaribu kudanlord wimbo, inagoma kabisa
riziwan jumanne Member May 11, 2015 20 5 May 17, 2015 #6 Audio zpo pia mkuu endelea nayo ndo uwa nai2mia mm
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,191 May 17, 2015 #7 ingia waptrick au zamob upate utamu utamu
J Jonathan Kiula JF-Expert Member Apr 3, 2011 314 100 May 17, 2015 #8 Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk
N Nando JF-Expert Member Oct 5, 2014 4,848 2,059 May 18, 2015 #10 Jonathan Kiula said: Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk Click to expand... Hii ni ya ukweli nshaitumia sana.
Jonathan Kiula said: Ingia Tubidy Mobile Video Search Engine utapata audios kwa mp3, mp4, videos za gospel, reggae nk Click to expand... Hii ni ya ukweli nshaitumia sana.