rutajwah
Member
- Nov 17, 2022
- 89
- 97
Habari wanajf,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni self taught web/wordpress developer
Natafuta kazi kama website/wordpress developer
Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time.
Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development agency zozote unaweza niconnect pia.
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano
+255674664154 Whatsaap/Call