sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
205
262
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.

Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo;

Database
1. Database cleanup
2. Database optimisation
3. Database errors fix

SEO
1. Removing all pages/posts returning 404 errors in both website and search engines
2. Redirect old posts/pages to new one in search engines and website itself

Website
1. Update outdated codes
2. Removing sections in websites that are not working
3. Removing plugins and modules errors

Other services
1. Setting production environment in both on premises or cloud server/environments
2. Containers setup
3. Setting Load balancer
4. Cloud billing optimisation


Gharama za huduma ni kuanzia Tsh.30,000/=
(Services fee starting from Tsh.30,000/=)

Call:+255 692 286 090

Ushauri Ni Bure
 
Habari wakuu,
Leo nimekuja na ofa kwa wale waohitahi kufungua tovuti kwa ajili ya tasisi au watu
binafsi (Personal/NGOS/Charities) Zisizo za kibiashara kwa Tsh.150,000/= ,Hii itajumuisha tovuti yenyewe,barua pepe, hosting mwaka mzima pamoja na jina.

Ofa hii ni kwa ajili wa watu binafsi au tasisi zisizo za kibiashara mpaka tarehe 15/07/2022

Hakutokuwa na malipo ya awali mpaka kazi itakapoisha na ukalizika nayo.

Call/WhatsApp +255765696086.
 
Pamoja na kuwa na plugins nyingi katika jumuiya ya wordpress, bado kuna uhitaji wa plugins mahsusi kwa ajili ya kazi fulani wewe kama blogger au mtumiaji wa Wordpress ungependa kupata plugin yenye kufanya kazi ipi katika tovuti yako.

Nakaribisha mawazo ya watumiaji. Plugin moja itayohitajika na watu wengi basi tutaitegeneza na kuirudisha kweu wadau kwa matumizi.
 
Habarini wakuu,

Kwa mahitaji ya mifumo/tovuti kwa ajili ya kuendesha biashara yako, huduma hii unapatikana kwa gharama nafuu. Malipo ni baada ya kazi kuisha.

Vile vile tunatoa ushauri bure kabla kwa mtu yeyote anayehitaji kuanzisha biashara yake mtandaoni.

Kwa ushauri bure
Call/WhatsApp +255765696086
 
Back
Top Bottom