acha maneno weka mziki(by darasa). swiss youhuyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
Mkuu sio kila jambo lazima upinge tu comments zako nyingi naona ni kupinga tu but anyway ni haki yako kisheria maadam huvinji sheria za nchi ila kila jambo likiletwa kuhusu viongoz wa kiserikal lazim upinge dah! Ww noma. Kutembelea wasanii haijamanisha hana kazi ya kufanya pia ni sehemu ya kazi kuwatia moyo kama watz wenginehuyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
Atakuwa ameenda kuufanyia remix ule wimbo wa 'CCM Mbele kwa mbele'

msanii naye ni msanii kaingilia kaxi ya Nape.Mkuu sio kila jambo lazima upinge tu comments zako nyingi naona ni kupinga tu but anyway ni haki yako kisheria maadam huvinji sheria za nchi ila kila jambo likiletwa kuhusu viongoz wa kiserikal lazim upinge dah! Ww noma. Kutembelea wasanii haijamanisha hana kazi ya kufanya pia ni sehemu ya kazi kuwatia moyo kama watz wengine
Hakuna tatizo na maneno yako ila mtu akiajiri watu 40 na kulipa million 40 waziri anatembelea? Mbona wengi wameajiri mamia ya watu na wanalipa millions na hawatembelewa huyo Bakhresa tu kutembelewa sababu alitingisha kibiriti.Diamond siyo artist peke yake, bali ni mwajiri aliyeajiri vijana zaidi ya hamsini, na katika vijana hao wapo wenye watoto, wake na wengine ndio tegemeo katika familia zao. Anawalipia mafao hao vijana, na zaidi analipa kodi zaidi ya milioni 40 kwa mwaka. Sasa nijuze ni kijana gani msanii ambaye anafanya kazi zaidi ya Diamond? Ukifikiria hapo, basi utaelewa kwa nini wanasiasa na viongozi wanakwenda kutembelea WCB kila mara. Wana mambo mengi ya kujifunza kutoka WCB ili wakaweze kushare hayo mambo na vijana wengine wanaohangaika kujikwamua kimaisha. Ukiwa kiongozi, na ukawa na nia ya kusaidia wasaniii au jamii fulani, basi ni lazima ujifunze kutoka kwa waliofanikiwa na ujifunze kutoka kwa waliofeli ili kusudi upate njia sahihi ya kuwasaidia wanaokwama.

kuna member humu aliwahi kusema ROMA anamalizia VERSE ya huyu jamaa, au ishatoka hiyo muzikiView attachment 451920Wakuu wanaziona juhudi.
Kuna mwingine alijipendekeza mawingu naona ni mwendelezo wa kutafuta KiCkkwa hiyo kazi ya waziri ni hiyo au kuna watumishi wa kitengo chake.na swala la Uchumi labda jamaa kaenda kukopa.
swissme
Hata kiba anayo ofisi mafichoni hataki tu mambo ya show off...nawaziri akimtembelea huwa hataki waandishi wahabari wajuwe.WCB wana ofisi na wanalipa kodi.