huyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya. swissme
Diamond siyo artist peke yake, bali ni mwajiri aliyeajiri vijana zaidi ya hamsini, na katika vijana hao wapo wenye watoto, wake na wengine ndio tegemeo katika familia zao. Anawalipia mafao hao vijana, na zaidi analipa kodi zaidi ya milioni 40 kwa mwaka. Sasa nijuze ni kijana gani msanii ambaye anafanya kazi zaidi ya Diamond? Ukifikiria hapo, basi utaelewa kwa nini wanasiasa na viongozi wanakwenda kutembelea WCB kila mara. Wana mambo mengi ya kujifunza kutoka WCB ili wakaweze kushare hayo mambo na vijana wengine wanaohangaika kujikwamua kimaisha. Ukiwa kiongozi, na ukawa na nia ya kusaidia wasaniii au jamii fulani, basi ni lazima ujifunze kutoka kwa waliofanikiwa na ujifunze kutoka kwa waliofeli ili kusudi upate njia sahihi ya kuwasaidia wanaokwama.Wanasiasa wetu wana mambo sana...
kwa hiyo kazi ya waziri ni hiyo au kuna watumishi wa kitengo chake.na swala la Uchumi labda jamaa kaenda kukopa.Ulitaka afanye nini ili ujue ana kazi ya kufanya? WCB wanachangia pato la taifa kiasi gani kwa mwaka ukilinganisha na pato unalochangia wewe? Unajua WCB imeajiri vijana wangapi wenye familia zinazowategemea?
Mkuu siku ukimuhoji Mbowe alipo Ben saanane nitakupa zawadi....huyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
swala la Ben muulize Mbowe na Kubenea wanajua alipo tena Kubenea anasema huonekana kwenye vijiwe...Ben na majibu ya miili 7 kule Ruvu yamepatikana???
Yaani viongozi wa Afrika na hasa Tz. ni waajabu sana kufanya inappropriate duties and repsponsibilities with every thn is politics.
Mkuu siku ukimuhoji Mbowe alipo Ben saanane nitakupa zawadi....