WCB wamebet vibaya kwa Lavalava na Maromboso

Wimbo wa kwanza wa Mbosso sio mbaya unastahili kwenye playlist ya mpenda bongo fleva yoyote,huu wimbo wa pili naunga mkono hoja kua hauna mashiko sana ila ni mwanzo wake kama solo artist ni vema akapewa muda atuonyesha.
 
Sio kila hit song ni nyimbo nzuri na si kila nyimbo nzuri huwa hit song.zipo nyimbo kali sana ambazo hazijatamba na hazijulikani.
Pili kuna kitu kinaitwa niche,sio kila bidhaa iliyoko sokoni ni kwaajili yako.watu wanatafautiana ladha za muziki wanazozipenda so kwako unaweza usifurahie aina ya muziki wa lavalava, lakini wengine wakawa wanaipenda.so yawezekana hao wcb wameamua kutafuta wanamuziki wa mahazi tafautitafauti
 
Ni rahisi sana hadi watoto kukariri nyimbo za Aslay kuliko huyo Maromboso na Lavalava ,sijui kwanini
kwasababu hata watoto wadogo huwa wanaingia you tube na kuingia kwenye show zao hivyo kuweza kumpandisha asley na kumtunishia pochi hawa ndo wa siku hizi hawaishii kukariri nyimbo zake Bali kumuunga mkono hata kibiashara
 
Ashley sahiv kashakuwa mlevi....anabwiga pombe sana ...mziki wenyewe ushamshinda ...labda uje point nyingine tukuelewe.
true. ktena ma safar kuna siku nimemuona kaleewa chakriii tena asunuhi tuu!! anatembea na boxer kifua wazi tena hotelini.

nikasema basi hakkuna kitu
 
Kwa upande wangu hapa kwa Lavalava na Mbosso WCB na 'Mendes' wao wamefanya usajili mbovu, wangemsajili Aslay wangepiga hela mno
Wewe tu umejiaminisha bila ya clouds fm,hawawezi,angalia trend kwa kutumia youtube
 
Back
Top Bottom