Mfalme/malkia ni mtawala asiye na madaraka ndiyo maana kuna Prime Minister wa chama kinachotawala na ndiye mwenye kuamua kama kwenda vitani kama alivyofanya Tonny Blair kwenye vita ya Iraq ingawa mtu kama Prince Charles mwana wa mfalme alipinga. Chama tawala na siyo malkia kinaamua nchi za kufadhili na nchi za kujenga nazo urafiki si Malkia.Hivi huko Uingereza kuna demokrasia? Mfalme kwa maana ya malkia anatawala miaka nenda rudi halafu unasema ndiyo demokrasia?