Kuelekea 2025 Wazo la vigezo uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Joh99

Member
May 27, 2021
5
1
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Itapendeza kama tutachagua viongozi wa vijiji, mitaa nk kwa kufuata elimu walau kidato cha nne

Nimeona wenye viti wa vitongoji na vijiji hawajui kusoma na kuandika na hata lugha ya kiswahili tu kwake ni shida

Nafikiri hii ni kikwazo katika kutekeleza majukumu yao hasa kipindi hiki cha teknolojia inayokua kwa kasi
 
Back
Top Bottom