nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,872
- 1,109
Mungu anatoa hukumu unakuwa chizi au una kufa? Du huyu mungu hana upendo Na viumbe wake. Ninavyojua shetani ndio muangamizi . mi nafikiri ni Kaz ya shetani hasa jini sio munguPetro:
Halal-Badr haisomwi na waganga.
Hiyo ni Qur'ani tukufu (kitabu chake Mwenyezi Mungu).
Hivyo husomwa na muumini yeyote yule kwa kumuomba Mwenyezi Mungu apitishe hukmu yake juu ya kadhia hiyo.
Nakuomba uelewe hivyo.