Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,226
- 31,833
Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa Rwanda Generali James Kabarebe na Msemaji wa M23 Lawrence Kanyuka Kingston kutokana na vita vinavyoendelea Mashariki mwa Kongo.
Wakati Viongozi wa Afrika Mashariki wakiendelea kumlea Kagame ambaye sasa anawachezea kama vitoy Wazungu wameamua kufanya kweli.
Itakumbukwa James Kabarebe amekuwa akitajwa sana kama mtu anayetumiwa sana na Kagame katika kupanga na kufanikisha mipango ya ku destabilise Congo.
Wasiomfahamu General James Kabarebe amewahi kuwa bodyguard wa Kagame kipindi vuguvugu lililosababisha cha mauaji wa kimbari nchini Rwanda mwaka 1994. Pia amewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Congo baada ya kumsadia Mtutsi .wenzao Raurent Kabila kupindua Serikali ya Mobutu Seseko. Aidha amewahi kuwa Mkuu wa Majeshi wa Rwanda na Waziri kwenye Wizara mbalimbali ambapo kwa sasa anashika cheo cha Waziri wa Afrika Mashariki wa nchi hiyo.
Asante sana Trump. Usiache kumulika hawa Viongozi wa CCM wanaotaka kufanya Uchaguzi bila Reforms.