Waziri wa Magufuli agawa ardhi bure kwa wananchi

tukiachana ushabiki tukasikiliza Hotuba ya RAIS kwa umakini tukiwa Imani na nia safi utaona ya kwamba hapana mahali pia kumshutum ama kumpa lawamani mheshimiwa RAIS

alichoahidi ni kwamba akiikamata sukari imefichwa na mfanyabiasha ataitoa na kuigawa bure kwa wananchi,
kumbuka kwamba akikamata ikiwa imefichwa na sasa hajakamata unata kukagawiwa bure ili iweje?
ili upate maneno ya kuongea kwamba
amenyang'anya watu mali akagawa bure?
tukiacha ushabiki na kufikiri kwa mapana je mtu Kama RAIS anapata faida gani binafsi sana ukilinganisha na kazi kubwa na ngumu aifanyayo? maana ktk kutawala elewa kwamba si kweli kwamba watu wote watakupenda ama ki kufurahia kwa sababu wapo ambao unaharibu mipango yao ya kujinufaisha binafsi wao na familia zao lakini wakati huohuo wanaangamiza ama kuteketeza maisha ya raia ama raslimali za nchi, wewe unafikiri watu wa namna hii watampenda ama kumfurahia RAIS kwa kazi anazofanya? hawa si wangekuwa na nafasi ya kumuangamiza huoni Kama wangefanya? kwa nini usione ya kwamba kila analofanya RAIS ni kwamba anafanya kwa nia nzuri na wala hana afanyalo kwa maslahi binafsi.
mpe moyo mheshimiwa RAIS ..
 
Wana ccm hapa wamemaliza wanagawa bure na kuondoka,unafuta tu halafu unaacha hivyohivyo wakati u a maafisa wote wenye uwezo wa kuandaa mchoro mpya wa mashamba ya wananchi,baadae watakuja wanasema wananchi hawana hati miliki za kuwadhamini benki wakati huu mchakato ungeenda sambamba na umilikishaji ili kuepusha migogoro hapo baadae,hao vijana wanaolia ajira mkiwapa hati miliki za serikali wataenda benk


mashamba madogo yawe ktk mfumo wa vitalu. vitalu hivyo visajiriwe na kupewa ruzuku za mbegu, pembejeo na zana za kilimo kwa wahusika wanaofanya vzr..
 
Back
Top Bottom