Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
19,812
31,784
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Ukweli usemwe na uwekwe wazi

Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda

Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala

Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi

Inasikitisha sana

SAYUNI BOY
 
Wanatumia vilevi gani kwa majina?Wakamatwe wote na wapelekwe kambi za mafunzo ya kizalendo.
cc;Mbunge wao alione hili andiko na atuongoze kusikitika na kutafuta suluhu asap!
 
Mkuu ni changamoto sana

Kijana mmoja anatumia vitu Saba vinavyoharibu akili yake

1, konyagi
2 ugoro
3, kisungura
4, makahaba
5,kahawa
6, balimi
7,unga
8,bangi
9
 
Una data zozote ili hoja Yako iwe na mashiko?
Labda kama umekutana na watu wa Nne tu ambayo inaweza kuwa 0.00001% ya wakazi wote wa Bagamoyo
Mkuu mimi naishi huku najua acha kutetea

Panatisha hadi huruma tena hawa wenzetu wa msikitin ndo kabisa usiseme
 
Binafsi mimi hapa advance nimesomea mlandizi pwani, kwa kweli vijana wa pale ni wavivu, malaya, hawataki shule wote wanataka wawe bodaboda,wanavuta bangi, walevi tena watumia vilevi vikali, vigodoro na kujifanya masela, me sikuwahi waelewa kabisa, kiufup hawana future yoyote wapo wapo tu kama majinga. kati ya mikoa ambayo itakuja kuwa na watu wazima wengi wa hovyo Tanzania huu miaka kama 15 ijayo basi wa kwanza ni pwani
 
Mkuu ni changamoto sana

Kijana mmoja anatumia vitu Saba vinavyoharibu akili yake

1, konyagi
2 ugoro
3, kisungura
4, makahaba
5,kahawa
6, balimi
7,unga
8,bangi
9
Sasa huyo si Moja tu, magnitude ni ndogo sana
 
Mkuu ni changamoto sana

Kijana mmoja anatumia vitu Saba vinavyoharibu akili yake

1, konyagi
2 ugoro
3, kisungura
4, makahaba
5,kahawa
6, balimi
7,unga
8,bangi
9
Sasa huyo si Moja tu, magnitude ni ndogo
Mkuu mimi naishi huku najua acha kutetea

Panatisha hadi huruma tena hawa wenzetu wa msikitin ndo kabisa usiseme
Kuishi sio Tatizo lete data, bila hivyo unatumia hisia tu
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Ukweli usemwe na uwekwe wazi

Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda

Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala

Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi

Inasikitisha sana

SAYUNI BOY
Hawa vijana wa ovyo Jana wameniibia baadhi ya vitu ndani Kwa kuruka ukuta.

Yaani tutawachoma moto wote ,,,we subiri.
 
Binafsi mimi hapa advance nimesomea mlandizi pwani, kwa kweli vijana wa pale ni wavivu, malaya, hawataki shule wote wanataka wawe bodaboda,wanavuta bangi, walevi tena watumia vilevi vikali, vigodoro na kujifanya masela, me sikuwahi waelewa kabisa, kiufup hawana future yoyote wapo wapo tu kama majinga. kati ya mikoa ambayo itakuja kuwa na watu wazima wengi wa hovyo Tanzania huu miaka kama 15 ijayo basi wa kwanza ni pwani
Ni wapuuz kabisa

Tuendelee kuwaombea
 
Back
Top Bottom