Waziri Ummy Mwalimu asema Wizara haina pesa kuwalipa Madaktari walioagizwa wawaajiri

Ina maana agizo la kuwaajiri lilitolewa bila coordination ya namna pesa zitakavyopatikana za kuwalipa?.
 
Rais atawalipa?? Kwa pesa kutoka wapi jaman, mshahara wake au nn, na atawalipa kwa muda gan....
mkuu, labda kupitia sponsorship ya wale washikaji walioiahidi Bakwata kujenga msikiti wa 5B.

ngoja nikumbuke jina wanalotumia halafu nitarudi!
 
Unapokuwa na taifa lisiloheshimu bajeti yake matokeo Ndio haya mtu anaibuka tu na matangazo bila kuangalia bajeti na vipaumbele vyake
 
TUMBUA HUYU HAO WAFANYAKAZI 13000 HEWA PESA ZAO ZINAKWENDA WAPI SI WALIPE HAWA? HATA KAMA WALIKUWA WANALIPWA KIMA CHA CHINI CHA 250000 MARA 13000 ZINTOSHA HAO MADAKTARI WANAOLIPWA SIO ZAIDI YA 1200000 KWA MWEZI. si ziko kwenya bajeti inayisha juni mwaka hu? UTUONEE HURUMA SISI WALALAHOI HAO NDIO TUMAINI LETU KWA MATIBABU
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.Uliwahi kusikia bajeti ya ikulu inasomwa bungeni?
 
Rais ana vyanzo vingi vya mapato. Anaweza kufuta sherehe za kitaifa, kuna wafanyakazi hewa anazuia malipo yao, vyeti feki kibao. Ila tumwombee uzima atawale muda mrefu.
 
Hakuna ushirikiano kati ya mkulu na mawaziri. Mkulu anasema vile... mawazir wanasema hiv.. tumsikilize nani
 
Hongera dada yangu Ummy Mwalim, Sisi waislam tumefundwa kusema ukweli basi, so asante sana kwa kumjibu huyu Mtawala wa Kiimla, Anaagiza tu wala bila hata kuwasiliana na mamlaka husika, Hajui kuwa Raisi sio kujua kila kitu.
 
Yeye ndio muajiri mkuu, Hazina kuu, na mtafutaji wa mapato, anajua wapi atapata pesa. Alijenga barabara bila bajeti itakuwa tumshahara? Kwanza Uhuru anaweza ambiwa alipe fidia kwa kumuingiza mkenge wa mkataba wa kusaili madaktari halafu anaahirisha mchakato.
 
Back
Top Bottom