Waziri Ridhiwani Kikwete: Vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
589
1,373
Matokeo ya utafiti wa nguvu kazi iliyofanyika mwaka 2021, inaonesha kuwa kati ya vijana milioni 14.6 wenye uwezo wa kufanya kazi, vijana milioni 1.8 sawa na asilimia 12 hawana ajira.

Tatizo la ajira kwa vijana hasa wa kike lipo asilimia 16.7 ukilinganisha na asilimia 8.3 kwa upande wa vijana wa kiume hapa nchini.

Soma Pia: Vijana milioni 23.6 barani Afrika hawana ajira
 
Mmh kati ya million 14.6 ni 1.8 M ndio hawana ajira mbona ni wachache kuliko uhalisia uliopo
 
Back
Top Bottom