miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,815
- 49,041
teh hakuna njaa
Aliyeshiba ni boss wake aliyempa muongozo Wa kazi>>>Huyo mkuu wa mkoa ameshiba ndio maana...
RC yupo juu ya Waziri ana crownSafi sana RC
Zwangendaba hilo nalijua sana maana hata mimi nimekaa Miami miaka saba, nilitaka tu kufikisha ujumbe kwa mbumbumbu wetu kwa njia hiyo.Kwanza kitapunguaje? Huwezi kuwa Great nation namba moja halafu bado mnadiskass njaa?? Huko wapepita zamani sana.
Subiri njaa ikolee ndiyo utajua rungu ya mkurya ina macho kwa jinsi itakavyotua kwenye kichwa cha RC huku maghala yakifunguliwa na chini ya nusu saa hakutakuwa na hata punje ya mhindi ghalani.Muhongo atakuwa amenunuliwa na wafanyabiashara.
Kufeni tu watu wa musoma.
Rais ndiyo anajua kama kuna njaa au hakuna.
Yeye yuko magogoni anakula, analala, anavaa l, anatembea bure
Torn tu kaka kwenye maandishi huwezi kuiweka, lakini nilijua wazi kwamba hilo ni "obvious" mkuu. Kwakuwa nilielewa uchokozi wa swali lako la mwanzo, ndipo nikasisitiza na mie discussion ya njaa imebaki Afrika tu kwa sasa. Wacha tuisome namba kaka.Zwangendaba hilo nalijua sana maana hata mimi nimekaa Miami miaka saba, nilitaka tu kufikisha ujumbe kwa mbumbumbu wetu kwa njia hiyo.
Wazo: Hivi kwanini wasitangaze kisha watuombe tuchangie kama ile ya Kagera?tehtehSubiri njaa ikolee ndiyo utajua rungu ya mkurya ina macho kwa jinsi itakavyotua kwenye kichwa cha RC huku maghala yakifunguliwa na chini ya nusu saa hakutakuwa na hata punje ya mhindi ghalani.
Yaani Njaa kama Mimba huwezi kimbia itakuwa kubwa tu tuombeSafi sana RC
Tutasikia mengi>>>Huyo mkuu wa mkoa ameshiba ndio maana...
salary slipHii nchi bora Mungu afanye yake wote tuondoke tuwapishe wenye akili waje waishi kwenye hii nchi.
njaa hakuna acheni uchochezi.january mnalia njaaIna maana Mhongo kama mjumbe wa baraza la mawaziri hajawahi kupeleka hoja kwenye vikao kuwa kuna baadhi ya maeneo kuna njaa.
Sasa naamini hawa viongozi wetu hawamwambii ukweli Mkulu. Pengine hawa hawa ndio wa kwanza kumjaza uongo kuwa kila kitu kiko sawa kumbe kimoyo moyo wanaumia kwa ushauri wao.
Mungu keshafanya haya kabla ulimwengu haujaumbwa... Soma Mithali 28:16 (samahani kama wewe siyo muumini wa hii dini ila soma tu)Hii nchi bora Mungu afanye yake wote tuondoke tuwapishe wenye akili waje waishi kwenye hii nchi.
Hapo hakuongea kama Waziri ameongea kama mbuge mkuu.RC yupo juu ya Waziri ana crown