Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Waziri vs RC>>>Huyo mkuu wa mkoa ameshiba ndio maana...
Like seriously?Safi sana RC
Tena namuomba afanye haraka sana kabla ya mwez wa sitaHii nchi bora Mungu afanye yake wote tuondoke tuwapishe wenye akili waje iishe kwenye hii nchi.
Kwani yeyekasema kuwa ameambiwa ali ni shwari? Yeye anachosema ni kwamba ameona kwa macho yake kuwa majani ni ya kijani.Ina maana Mhongo kama mjumbe wa baraza la mawaziri hajawahi kupeleka hoja kwenye vikao kuwa kuna baadhi ya maeneo kuna njaa.
Sasa naamini hawa viongozi wetu hawamwambii ukweli Mkulu. Pengine hawa hawa ndio wa kwanza kumjaza uongo kuwa kila kitu kiko sawa kumbe kimoyo moyo wanaumia kwa ushauri wao.
Hehehehe dahHakuna waziri mnafiki na,mzandiki kama huyu. Utadhani mswahilimswahili tu. Yeye ndie alimfanya Kassim Majaliwa kas ipungue ile ishu ya flow mita baada ya kuwatonya Siri za baraza la mawaziri kuwa PM anakuja kugau kwasabab tu yule mama naibu pale kwenye flow mitre alikuwa mjita mwenzake asingekuwa mjita,mwenzake asingewashtua. Limejaa ukabila sana ndio maana afichi chuki kwa Mengi.
limbea sana naliongo wamepanga vizuri bei ya umeme kupanda hadi wakaridhia panoja na Sizonje halaf wakamfukuza mramba kwa aibu.
Si yeye lisomi litatue bas ishu ya msos jimboni mwake siyo kulialia hapa kama kindergarten graduate
hii nchi kuna watu wanatia hasira sana kujisifia wamesoma alafu yanakuja kuwa madependand kwa taifa badala taifa liwategemee shida kweliHakuna waziri mnafiki na,mzandiki kama huyu. Utadhani mswahilimswahili tu. Yeye ndie alimfanya Kassim Majaliwa kas ipungue ile ishu ya flow mita baada ya kuwatonya Siri za baraza la mawaziri kuwa PM anakuja kugau kwasabab tu yule mama naibu pale kwenye flow mitre alikuwa mjita mwenzake asingekuwa mjita,mwenzake asingewashtua. Limejaa ukabila sana ndio maana afichi chuki kwa Mengi.
limbea sana naliongo wamepanga vizuri bei ya umeme kupanda hadi wakaridhia panoja na Sizonje halaf wakamfukuza mramba kwa aibu.
Si yeye lisomi litatue bas ishu ya msos jimboni mwake siyo kulialia hapa kama kindergarten graduate