Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

Chadema chama cha matukio chali tena.

We boya baki unasifia wakati wanaume wenzio wanapinga huo uhuni. Hatuna hakika na hii habari, na hata kama ni kweli ni sisi ndio tumepambana tena tukimtaja waziri na rejea zake kwamba umeme hautapanda bei. Kama ni kweli hapo nitajua viongozi wanasikia na nitaipongeza jf kwa shinikizo hili.
 
Kama ni kweli atakuwa kathibitisha ile kauli kuwa huyu mzee ni mtu wa kazi tu siyo siasa...
 
Yasije yakawa kama yale ya kodi za bank. Mwisho wa siku zigo linawaangua walaji. Hivi watumishi wa TANESCO hizi gharama za umeme wao haziwahusu?
 
tupe chanzo
ila kama ni kweli kafanya jambo zuri, maana kina tatizo la liquidity kwenye uchumi, kodi zinalalamikiwa, kisha uongeze bei ya umeme halafu una expectation za ku boom kwenye viwanda??
 
Huku si ndo kuishi kama mashetani; huyu anatangaza hivi yule pale anatangaza kupiga stop, yule kule nae anakanusha kutoa taarifa. Daah wananchi hawaelewi hii sinema.
Hapa tulipofikia yahitaji moyo sana kuiamini hii serikali kwani imezidiwa ushirikiano&coordination na hata sisimizi ambao wakiamua jambo wanafanya kwa pamoja bila kuwa na mmoja wa kutaka sifa ati anaweza.
 
EWURA YAPIGWA STOP NA WAZIRI MUHONGO: Tumepokea taarifa za barua ya leo, 31 Dec 2016 kutoka kwa Prof Muhongo kwenda kwa DG EWURA ikisimamisha utumiaji wa bei mpya zilizotangazwa jana na EWURA. Prof Muhongo ametumia madaraka aliyopewa na yako ndani ya Electricity Act, 2008. Serikali haijapokea na kutathmini bei zilizopendekezwa na EWURA. Uchumi wa viwanda unahitaji umeme wa bei nafuu.
VIVA TANZANIA
EPISODE NYINGINE INAKUJA NGOJA NISOGEZE KITI NIANGALIE
 
Huyu ndio angetakiwa awe rais sio huyu ambaye hata lugha aliyotumia kudefend thesis yake ni mgogoro

Ah! Unawezaje kumtolea maneno ya ufidhuli namna hii mtu aliekupita kwa Kila hali? Anayo madaraka makuu ya mwisho ambayo Mungu ameruhusu binaadam kua nayo, niki kutathmini amekupita hata kwa umri nk.
Unajuaje kama sii Yeye alietoa hayo maelekezo kwa waziri?
Hata Mungu anachukizwa na watu kama wewe!
 
Mmh uhakika kweli mi siyo wazir lkn info tokea inaanza naipata mpaka wakatangaza officially kuwa itakuwa kesho umeme unapanda mda wote walikuwa wapi kweli namkumbuka masaburi maana wanafikiria kupitia yeye!
Kwa hiyo hutaki?
 
Changa la macho kama vat ya miamala ya ya simu au wanataka kesho waseme wanajali wananchi kwa sababu wapiga dili wa ewura walitaka kupandisha bei ya umeme
 
Wapi washakata na mtandao wa luku ili kuweka mfumo wa bei mpya za kuanzia kesho jiandae tu kuipokea hali yenyewe
 
Kick, Ewura hawana ubavu wa Kupandisha gharama za Umeme bila ya Dokezo sabili kutua Wizarani
 
Back
Top Bottom