Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 1,914
- 1,965
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili kuwaangamiza magaidi wa Hamas na kuwakomboa ndugu zao waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023.