Waziri Mkuu & W/ Afya: Nyalandu na Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA , rambirambi

Hii dhambi ya kula rambirambi inaonekana imeshika kasi sana sana huko fisiem. Baada ya Magufuli kuzuia mianya yao ya 'pigaji' sasa ni mwendo wa rambirambi tu!
 
Waziri Mkuu & W/ Afya: Mh Nyarandu na Mb. Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA na Rambirambi

Natanguliza shutuma zangu za waziwazi , nimefuatilia suala la tetemeko KAGERA ; lilikuwa well coordinated; Lilikuwa kubwa sana uharibifu ulikuwa mkubwa lakini; wanasiasa walipewa onyo'

Msimamizi aliyeteuliwa alikuwa mkuu wa Mkoa Kagera ; ndo alipokea Rambirambi zote na ndo aliongoza utaratibu wa kuonana na waathirika na Kutoa taarifa za maendeleo ;

Nashangaa Msiba wa wanafunzi wa LUCK SCHOOL ; Serikali haijatoa muungozo nani wa kusimamia rambirambi

Je Mkuu wa Mkoa ; Meya ya Jiji au mtu yeyeto ?

Mheshimiwa Lema anafanya makususi na anandaa kutuma kina mama Vijana wa chadema na ukawa bila utaratibu ili kuvuruga utulivu na kutonyesha vidonda

Afya za watoto ;

Anachofanya Mh Nyarandu naunga mkono kutuma picha za watoto na kutoa Siri za ugonjwa ; Lakini kuna Daktari aliyeambatana nao ; ni naona apigwe stop kutoa taarifa za watoto; Wizara ya afya itoe Muongozo nani wa kutoa taarifa za maendeleo ya watoto.

BILA KUCHUKUA TAADHALI NAONA MOTO UNAFUKA

KAMA TETEMEKO KAGERA WALICONTROL ; ARUSHA INASHINDIKANA NINI?View attachment 511940View attachment 511942View attachment 511943View attachment 511941

I have read mass of crap on this page. This one takes the icing.
 
serikali hii inachekesha sana ni kama wanaomba mungu mabalaa yato=keee wakombe pesa
iliahidi kushughulikia msiba mzima lakini badala yake? haikuchanga hata 1/4 ya mazishi yale na zaidi wakachkua na bakshishi msiwe mnachanga kwakweli
 
Nadhani hoja ya kutoa taarifa juu ya maendeleo ya wagonjwa wetu sio jambo baya ila hoja ya kutuma picha kila wakati pia sidhani kama ni nzuri. Kungekuwa na utaratibu mzuri pengine kila baada ya wiki 4, au 6 hivi ndio watoe habari juu ya maendeleo ya wagonjwa. Hiyo ingekuwa poa sana

Kuhusu rambirambi, ni haki ya yeyote anayetaka kuwapa walengwa msaada kufanya hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: R.B

Attachments

  • upload_2017-5-22_13-2-58.jpeg
    upload_2017-5-22_13-2-58.jpeg
    26.5 KB · Views: 19
Waziri Mkuu & W/ Afya: Mh Nyarandu na Mb. Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA na Rambirambi

Natanguliza shutuma zangu za waziwazi , nimefuatilia suala la tetemeko KAGERA ; lilikuwa well coordinated; Lilikuwa kubwa sana uharibifu ulikuwa mkubwa lakini; wanasiasa walipewa onyo'

Msimamizi aliyeteuliwa alikuwa mkuu wa Mkoa Kagera ; ndo alipokea Rambirambi zote na ndo aliongoza utaratibu wa kuonana na waathirika na Kutoa taarifa za maendeleo ;

Nashangaa Msiba wa wanafunzi wa LUCK SCHOOL ; Serikali haijatoa muungozo nani wa kusimamia rambirambi

Je Mkuu wa Mkoa ; Meya ya Jiji au mtu yeyeto ?

Mheshimiwa Lema anafanya makususi na anandaa kutuma kina mama Vijana wa chadema na ukawa bila utaratibu ili kuvuruga utulivu na kutonyesha vidonda

Afya za watoto ;

Anachofanya Mh Nyarandu naunga mkono kutuma picha za watoto na kutoa Siri za ugonjwa ; Lakini kuna Daktari aliyeambatana nao ; ni naona apigwe stop kutoa taarifa za watoto; Wizara ya afya itoe Muongozo nani wa kutoa taarifa za maendeleo ya watoto.

BILA KUCHUKUA TAADHALI NAONA MOTO UNAFUKA

KAMA TETEMEKO KAGERA WALICONTROL ; ARUSHA INASHINDIKANA NINI?View attachment 511940View attachment 511942View attachment 511943View attachment 511941
Kama patients na familia zao wamekubali habari zao kutolewa sisi au serikali tupinge kutolewa kwa kigezo gani?

Na kumbuka sasa hivi they are subject to US laws.
 
Nyarandu=Nyalandu, makususi=makusudi, kutonyesha=kutonesha......Rudi kwanza darasani ndio uje uandike hapa. KKK hujui halafu unatuletea ujinga wako wa kigambagamba hapa!
 
Hivi wewe kichwani mwako kuna ubongo au mkando wa unga wa ngano?

Waziri Mkuu & W/ Afya: Mh Nyarandu na Mb. Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA na Rambirambi

Natanguliza shutuma zangu za waziwazi , nimefuatilia suala la tetemeko KAGERA ; lilikuwa well coordinated; Lilikuwa kubwa sana uharibifu ulikuwa mkubwa lakini; wanasiasa walipewa onyo'

Msimamizi aliyeteuliwa alikuwa mkuu wa Mkoa Kagera ; ndo alipokea Rambirambi zote na ndo aliongoza utaratibu wa kuonana na waathirika na Kutoa taarifa za maendeleo ;

Nashangaa Msiba wa wanafunzi wa LUCK SCHOOL ; Serikali haijatoa muungozo nani wa kusimamia rambirambi

Je Mkuu wa Mkoa ; Meya ya Jiji au mtu yeyeto ?

Mheshimiwa Lema anafanya makususi na anandaa kutuma kina mama Vijana wa chadema na ukawa bila utaratibu ili kuvuruga utulivu na kutonyesha vidonda

Afya za watoto ;

Anachofanya Mh Nyarandu naunga mkono kutuma picha za watoto na kutoa Siri za ugonjwa ; Lakini kuna Daktari aliyeambatana nao ; ni naona apigwe stop kutoa taarifa za watoto; Wizara ya afya itoe Muongozo nani wa kutoa taarifa za maendeleo ya watoto.

BILA KUCHUKUA TAADHALI NAONA MOTO UNAFUKA

KAMA TETEMEKO KAGERA WALICONTROL ; ARUSHA INASHINDIKANA NINI?View attachment 511940View attachment 511942View attachment 511943View attachment 511941
 
Watanzania wanajua ni nini kimewapeleka watoto nje kwa matibabu. Hiyo siri ni IPI?
Lakini pia nilitaka kujua ni kigezo kipi kinamwezesha mwanachama wa jf kupewa cheo cha expert member? Kwa sababu huyu jamaa kapost utumbo yet yeye ni expert member!
 
SIO KUPIGWA PICHA NA KUFANYA KIKI KWENYE SIASA: NA MATANGANZO AU BREAKING NEWS;
HIZO PICHA AU HIZO TAARIFA ZINA IDHINI YA DAKTARI ALIYEENDA NA WATOTO?
 
Kwani huko marekani serikali ndio iliwapeleka hao watoto? Serikali in atafua kick kupitia wasamaria wema walio changa na hao wafathili waliojitolea kuwasafirisha na kuwatibu hao watoto.
 
DAKATRI ALITEULIWA KWENDA NAO; NDO ANATAKIWA ATOE TAAARIFA WIZARANI AU UBALOZINI.
WACHUJE WAANGALIE KAMA INAFAA AU LA.
TUSITAFUTE KIKI KWA KUPOST . UGONJWA NI SIRI BAINA YA DR NA MGOJWA.
HAWA THIRD PARTY WANATOKA WAPI
Kwani wamepelekwa na serikali!?
 
Hata report ya watoto mnaona wivu inavyotolewa Na nyalandu, akili za kibashite Bwana
 
Waziri Mkuu & W/ Afya: Mh Nyarandu na Mb. Lema wachukuliwe hatua kutoa siri za wagojwa USA na Rambirambi

Natanguliza shutuma zangu za waziwazi , nimefuatilia suala la tetemeko KAGERA ; lilikuwa well coordinated; Lilikuwa kubwa sana uharibifu ulikuwa mkubwa lakini; wanasiasa walipewa onyo'

Msimamizi aliyeteuliwa alikuwa mkuu wa Mkoa Kagera ; ndo alipokea Rambirambi zote na ndo aliongoza utaratibu wa kuonana na waathirika na Kutoa taarifa za maendeleo ;

Nashangaa Msiba wa wanafunzi wa LUCK SCHOOL ; Serikali haijatoa muungozo nani wa kusimamia rambirambi

Je Mkuu wa Mkoa ; Meya ya Jiji au mtu yeyeto ?

Mheshimiwa Lema anafanya makususi na anandaa kutuma kina mama Vijana wa chadema na ukawa bila utaratibu ili kuvuruga utulivu na kutonyesha vidonda

Afya za watoto ;

Anachofanya Mh Nyarandu naunga mkono kutuma picha za watoto na kutoa Siri za ugonjwa ; Lakini kuna Daktari aliyeambatana nao ; ni naona apigwe stop kutoa taarifa za watoto; Wizara ya afya itoe Muongozo nani wa kutoa taarifa za maendeleo ya watoto.

BILA KUCHUKUA TAADHALI NAONA MOTO UNAFUKA

KAMA TETEMEKO KAGERA WALICONTROL ; ARUSHA INASHINDIKANA NINI?View attachment 511940View attachment 511942View attachment 511943View attachment 511941
Usemi wa wakinga toa mmoja wengine waokoke
 
Back
Top Bottom