ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Akikamatwa anayeuza gongo mwenyekiti wa mtaa na mtendaji kazi kwisha na kushitakiwa kwa uzembe kazini! Naamini sasa vijana watapata afya na watajiajiri au watalazimika kufanya kazi za kukoroga zege.Subiri wahamie kwenye gongo kama zamani ndio utajua hadhi ya pombe za kwenye chupa...