Waziri mkuu kwenye ziara.!!

a43a1036d7adc1a831cdce496e121fbb.jpg
Mhhh hii isije kuwa ni photoshop.
 
Hao mabody guard wake hawakuliona hili kweli, maana nao hawakuwa na wasiwasi kabisa!
Kama ni nchi zilizoendelea. Mkuu wa usalama wa PM (VIP Protection Unit)angejibu maswali.
Maana hili halikubaliki kabisa!
Ni UZEMBE!!
 
Back
Top Bottom