sasa tatizo ni nini,mbona unauliza yupo wapi wakati unajua alipo na unamuona??Kama ni kumuona kwa macho mbona wengi tunamuona
Bunge linaendelea Dodoma na yeye ndio kiongozi mkuu w serikali! Lazi awe kule full time! Ila amepoa sana, naona nae anaisoma namba! One man show one army! Kila kitu anataka kufanya mwenyewe mfalme!Siyo bure! Si kawaida ya PM. Hata Biafra hakuwepo!
Kila anapoiona Ripoti ya CAG hasa Wizara ya Ujenzi anapata ganzi na kushindwa kuamini kile anachokiona. Hilo linamrudisha sana nyuma na kuona labda yule anayemsulubu ana unafuu kulinganisha na kilichotendwa katika ile Wizara ya Ujenzi.Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Mbona February Marope ameteuliwa wakati ni jipu. Huyu si ndiye aliye engineer wenye makampuni ya simu yasijisajiri DSE akabadilika haraka hara vifungu vya sheria vilivyokuwa vimepitishwa na bunge. Mbona ni waziri? Teuzi za JPM zingine ni za kukurupuka tu. Angekuwa anajiridhisha yakina Anna Kilango yasingetokea.Naamini hadi JPM anamteua alijiridhisha kabisa so sidhan kama angeteua mtu ambaye ni jipu