Nguvu ya Maisha ikikosekanaBila shaka serikali haijahusika maana Kwa unyama huo Kwa maumivu hayo unapata wapi ujasiri wa kupokea rambirambi?
Nguvu ya Maisha ikikosekanaBila shaka serikali haijahusika maana Kwa unyama huo Kwa maumivu hayo unapata wapi ujasiri wa kupokea rambirambi?
Mchawi akishazoea kula nyama za watu haogopi kula hata ya mtoto wake.Bila shaka serikali haijahusika maana Kwa unyama huo Kwa maumivu hayo unapata wapi ujasiri wa kupokea rambirambi?
Wamezungukwa na vivuli vya wenzaoMasauni kama kweli ameguswa na huo msiba anatakiwa kuachia ngazi, full stop.
Tusidanganyane kwa namna nyingine yoyote, ameshindwa kutekeleza majukumu yake, kulinda uhai wetu, huyu bado anafanya nini ofisini mpaka sasa?
Au ndio jukumu lake jipya limekuwa kutoa pole kwenye misiba inayotokea kwa kushindwa kwake kutimiza majukumu yake?
Hii serikali imejaa wajinga wasiojua majukumu yao, hawajui wanatupeleka wapi, kwao ilimradi pakuche tu.
Ni takrima ya kupoza mamboMariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake.
Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya Septemba 6, 2024 eneo la Kibo Complex, Tegeta jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya basi la Kampuni ya Tashriff kwenda mkoani Tanga.
Baada ya kuondoka naye akiwa amefungwa pingu, mwili wake uliokotwa eneo la Ununio, Dar es Salaam ukiwa na majeraha na inaelezwa alimwagiwa tindikali usoni.
Leo Jumanne, Septemba 10, 2024, Waziri Masauni amewasilisha salamu za rambirambi za Serikali na kutoa Sh5 milioni huku akieleza familia jinsi Rais Samia alivyoguswa na tukio hilo na tayari wamekwisha kuanza uchunguzi ili kuwabaini wahusika.
Mariam kwenye maelezo yake amesema: “Tumesikia Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza vyombo vya uchunguzi vifanye uchunguzi wa kifo cha baba yetu, sisi kama familia tutakuwa tunapataje taarifa za uchunguzi huo, najua kuna muda inakuwa ni vigumu kuwafikia viongozi wa juu huko serikalini hasa kwa kesi kama hii ni jambo nzito.”
Tunachoomba ni ushirikiano wenu kama Serikali kwetu sisi maana hata sisi hatujui nani amefanya huo utekaji na mauaji ya baba yetu. Muhimu tunaomba huo uchunguzi ufanyike kwa haraka ili ukweli ujulikane na haki ipate kutendeka,” ameongeza Mariam.
Waziri Masauni amewasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais Samia na ameiomba familia hiyo kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho wamempoteza mpendwa wao huku akiwaomba wawe na subira ili vyombo husika vikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo la kutekwa na kuuawa kwa mzazi wao.
Soma pia:
=> Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
=> Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ally Mohamed Kibao jijini Tanga
=> Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
=> Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
=> Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu
=> Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine
THEY CANT BUY FATHERS BLOODNi takrima ya kupoza mambo
NDICHO MLICHOPANDA WANATAMANI WAFIKE MLIPO FIKIA ......MTOTO WA NYOKA NI NYOKA
Taifa limepotea njia siku nyingi sana, kama ni bus tunakaribia kuanguka korongoni dereva limeshamshinda.Bado anaupenda uwaziri na hajisikii sala hajioni kama mmoja wa wawajibikaji
TUMESOSOLATaifa limepotea njia siku nyingi sana, kama ni bus tunakaribia kuanguka korongoni dereva limeshamshinda.
Wabunge wa Tanga (Ummy & Co) hawakuwepo msibani kwasbb hawakutaka kukutana na kiongozi wa wauaji (Masauni)Mbona sijawaona wabunge wa TANGA msibani? Hasa UMMY
WEMA WAMO NDANI YA CCMWabunge wa Tanga (Ummy & Co) hawakuwepo msibani kwasbb hawakutaka kukutana na kiongozi wa wauaji (Masauni)
Dawa ni familia kuikataa hiyo 5M. Wamwambie akawaongezee posho waliofanya hiyo kazi.
Masauni siyo kiongozi wa ccmWEMA WAMO NDANI YA CCM
AlikuwepoMbona sijawaona wabunge wa TANGA msibani? Hasa UMMY