5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,260
- 2,383
Juhudi!!! juhudi gani mbona mapapa hawajashikwa?Halafu kuna nyumbu wanakuja hapa Na kubeza juhudi Za Raisi Magufuli Za kupambana Na UFISADI nakuzuia upotevu wa fedha Za serikali!
Juhudi!!! juhudi gani mbona mapapa hawajashikwa?Halafu kuna nyumbu wanakuja hapa Na kubeza juhudi Za Raisi Magufuli Za kupambana Na UFISADI nakuzuia upotevu wa fedha Za serikali!
Huo ndo upotoshaji, waziri amesema serikali imegundua wafanyakazi hewa elfu saba bila kutaja wizara au taasisi zinazotuhumiwa kwa kosa hilo. Nani kasema ni walimu peke yao. Ni upotoshaji kusema wanaoonewa ni walimu peke yao.Aseme na wizarani, katika majeshi, BoT, usalama wa taifa na maeneo nyeti kama wapo au hakuna, sio kuwaonea walimu tu
Embu tusaidie kufafanua mkuu,maana halisi ya mfanyakazi HEWA.maana kiukweli,wengi tunachanganya,,inafkia wakat aliyeenda masomon anaitwa Hewa...Unajua maana ya watumishi hewa
Wale walioacha kazi, wale waliofariki (hata majeshini wapo) wale wa kutengeneza kama yule wa Tra.Embu tusaidie kufafanua mkuu,maana halisi ya mfanyakazi HEWA.maana kiukweli,wengi tunachanganya,,inafkia wakat aliyeenda masomon anaitwa Hewa...
Kwa hiyo walimu waachwe?Aseme na wizarani, katika majeshi, BoT, usalama wa taifa na maeneo nyeti kama wapo au hakuna, sio kuwaonea walimu tu
Nmekusoma mkuu,shukran.asa ktk lile zoez,hewa huwa anabainika vip? Maana kiutaratib walituambia tupeleke barua ya ajira,kitambulisho cha kazi,salary slip(ya hiv karibun)pamoja na barua ya kupandishwa cheo kama unayo...halafu wanazikagua hizo document,na mwsho wa siku unasaini kwenye salary slip ambazo wao walizibeba,ni za mwez wa 12 mwaka jana.je,ktk hayo mazingira,huyo hewa anabainika vp sasaWale walioacha kazi, wale waliofariki (hata majeshini wapo) wale wa kutengeneza kama yule wa Tra.
Hewa maanake hayupo kwenye kupeleka hizo document hataonekana hapo ndipo atakapobainika lakini hata hiyo haisaidii maana pesa nyingi zilikuwa zinaliwa na wakurugenzi hivyo wanatumia mbinu chafu kuficha maovu yao.Nmekusoma mkuu,shukran.asa ktk lile zoez,hewa huwa anabainika vip? Maana kiutaratib walituambia tupeleke barua ya ajira,kitambulisho cha kazi,salary slip(ya hiv karibun)pamoja na barua ya kupandishwa cheo kama unayo...halafu wanazikagua hizo document,na mwsho wa siku unasaini kwenye salary slip ambazo wao walizibeba,ni za mwez wa 12 mwaka jana.je,ktk hayo mazingira,huyo hewa anabainika vp sasa
Wakati wa kuomba kazi ya urais alikuwa na wabia wangapi zaidi yake na makamu? Kwahiyo nchi alipewa mtu mmoja na hao wengine ni wasaidizi tu kama atawahitaji!Aach kukurupuka hadi Leo ujajua hii nchi inaongozwaje ,hii nchi inaendeshwa na MTU mmoja tu,akipitiwa ndo basi tena kilakitu kinapita
Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema kuwa, Wafanyakazi hewa waliobainika toka mwezi Januari hadi jana ni 7795, waisababishia Serikali hasara ya Sh7.5bn, Waziri A. Kairuki asema leo.
Wamebainika katika mamlaka za mikoa nchini.
Amesisitiza kuwa zoezi bado linaendelea
Hiyo hela IPO?Halafu yule Waziri wa chadema anatuambia kwamba tunazihitaji MCC kwa sababu huchangia 5% ya Bajeti yetu, sasa hapa peke yake kwenye watumishi hewa tayari hiyo 5% imeshapunguzwa, hivyo fedha nyingi zitaokolewa!
Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema kuwa, Wafanyakazi hewa waliobainika toka mwezi Januari hadi jana ni 7795, waisababishia Serikali hasara ya Sh7.5bn, Waziri A. Kairuki asema leo.
Wamebainika katika mamlaka za mikoa nchini.
Amesisitiza kuwa zoezi bado linaendelea
Wakati wa kuomba kazi ya urais alikuwa na wabia wangapi zaidi yake na makamu? Kwahiyo nchi alipewa mtu mmoja na hao wengine ni wasaidizi tu kama atawahitaji!
serikali inakusudia kupunguza watu nnavosikiatunaomba mwezi ujao vijana 4000, waajiriwe kuziba mwanya ulioachwa na watumishi hewa
Kwa hao watumishi hewa wengi hivyo, wahasibu, afisa utawala na mkurugenzi husika wote waende segerea -- TAKUKURU wafanye kazi(accountants ---paying officers, human resource officers - watawala and district/regional development officers not forgetting RAS)Tanzania ilikuwa kama shamba la bibi-Rais Magufuli
Kila mwenye nafasi alikuwa anakula bila malipo kulingana na urefu wa nafasi yake!