Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

Uchumi unakua pesa zinaongezeka ,hakuna sababu ya kupunguza,

Kwani Samia baada ya kuingia aliounguza Bajeti wapi? Si aliongeza na hii ni baada ya kutafuta pesa.
Wewe hizo pesa ni za Samia au wananchi unarahisisha tu mambo kichawa chawa wakati wananchi ndio wanaumia kulipia makodi na matozo ya ovyo huyo bibi kizee mwisho wake uraisi 2025
 
Baada ya kujengwa hilo daraja tutapata faida gani?.hiyo mikopo itakayokopwa atalipa mtanganyika au mzanzibari?.yaani Tugharamie daraja la trioni na trioni Kwa ajili ya kufata tende na ulojo Kwa watu wasiozid milioni?Tuache masihara.Ni Bora tujenge sgr nyingine kwenda kusini au kaskazin kuliko huo usengerema
 
Mimi naunga mkono haja hii ila ijengwe kwa nguvu za Diaspora. Diaspora walishaanza kukusanya fedha kitambo kidogo kwa ajili ya ujenzi wa daraja hili refu zaidi barani afrika. Nadhani hadi muda tayari watakuwa na nusu ya gharama za ujenzi wa daraja hili.
 
Daraja lina faida gani kwa tanganyika? Kwann msielekeze hizo pesa kwenye mambo ya msingi ktk kutatuq kero za wanainchi?
 
Daraja lina faida gani kwa tanganyika? Kwann msielekeze hizo pesa kwenye mambo ya msingi ktk kutatuq kero za wanainchi?
Daraja Halina faida? Nyumbu kama nyie hakuna mnachojua.Unajua sababu za Tanganyika kung'ang'ania Muungano?
 
Baada ya kujengwa hilo daraja tutapata faida gani?.hiyo mikopo itakayokopwa atalipa mtanganyika au mzanzibari?.yaani Tugharamie daraja la trioni na trioni Kwa ajili ya kufata tende na ulojo Kwa watu wasiozid milioni?Tuache masihara.Ni Bora tujenge sgr nyingine kwenda kusini au kaskazin kuliko huo usengerema
Faida ni nyingi sana ,kwanza itarahisisha biashara baina ya Bara na Visiwani lakini kikubwa zaidi ni Utalii.

Yaani Watalii wanaotua Zanzibar au Dar watapenda ku drive kwenye Gari kwenda aidha of the side
 
Daraja Halina faida? Nyumbu kama nyie hakuna mnachojua.Unajua sababu za Tanganyika kung'ang'ania Muungano?
Hakuna dezo, this time.
Mjengewe daraja halafu Tanganyika ndy ilipe deni.

Kwa sasa watanganyika tunajitambuwa,

Hatufanyi tena makosa ya 26 April 1964.

Hakuna kujenga daraja bila kujuwa malipo yatalipwa vp ,,
na Tanganyika itapata faida gani ktk ujenziI wa hilo daraja..

Kero za muungano zirekebishwe upya mfano"
-ardhi
-mambo ya ushuru nk.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/reel/C6BwTtyPseE/?igsh=eXltejhqNXhuc2w=

My Take
Naunga mkono hoja,Pamoja na mazuri mengi sana ya Samia ila Daraja akijenga Daraja hili na Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni alama kubwa ambayo ataiacha Kwa kipindi Cha Uongozi wake wa miaka 9.5.

Inawezekana Akiamua kama ambavyo Magufuli aliamua na Sasa Miradi yake Mingi Serikali iwahusishe Private sector kupata pesa.
View attachment 2970909View attachment 2970910

Ya CCM?
Hivi unatuonaje?
 
Back
Top Bottom