Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,713
- 8,225
Gwajima honngera yako
Najua humu umo
Najua humu umo
Aaron ChiduoJaman naomba kumbukizi ya baadhi tu wa mawaziri wa Afya mnaowafahamu tukiwacha wale wa AWAMU ya Tano na Awamu hii
Naomba kwa unyenyekevu sana kuna jambo nataka kuliangalia
Natanguliza shukran
😂😂😂😂😂 UmkhontoweSizweMama D, mbona mi sijaelewa 🤔
Mwanzo nilidhani anazungumzia kile kilele cha wanawake na wanaume, then akakanusha na kusema siyo hicho; alikuwa anazungumzia kilele gani sasa? 😅😅
Niache kuwaza uzinzi tena.Acha kuwaza uzinzi
Mathayo 5:28
Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
Mwambie kabisa aende akatubu, la sivyo moto unamhusuAcha kuwaza uzinzi
Mathayo 5:28
Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
Kutokujua sheria siyo excuse ya kutohukumiwa kwa kutumia sheria hiyo hiyo!Niache kuwaza uzinzi tena.
Mm sio muumini wa maandiko hayo aisee.
Nayajua ila niliacha kuyafuata niliona magumu kuyaishi.Kutokujua sheria siyo excuse ya kutohukumiwa kwa kutumia sheria hiyo hiyo!
Siuishi uharamu.Kasema yeye sio muumini wa halali
Mwache aendelee na uharamu
Mh gwajima mashallah naonaHahaha Father of All hakuna asiyekapenda buana...
Furaha ni maamuzi binafsi
View attachment 1898797
Nyani Ngabu
Kishakuwa mawanasiasa,2025 anakwenda Singida sasa sijui jimbo la Iramba kwa Mwigulu ?Mliokaribu na Dr Gwajima, Waziri, mwambieni aache bla bla, serikali inakinadi watoto na wamama wajawazito huduma ni Bure, mahospital kaibu yote nchini, huduma hiyo sio Bure, aache mipasho na kulumbana, atenge muda kulifuatilia hili, anapotea kwenye ulingo wa siasa very soon
😃😃Zimbabwe ya Mugabe kwa mara ya mwisho ndio niliona mtu na mwenza wake wakiongoza nchi. Kipindi cha corona nimeona hili likitokea Tanzania kwenye wizara. Na kwa bahati mbaya wakapatwa na upako wa babeli wa mfalme juha lugha gongana.
Hivi hiyo namba 666 haina maandalizi yeyote itaibuka tu kama uyoga unavyochipua? Masharti yote haya yanayo ambatana na hii chanjo ya corona huko kwengine kama ya kutokupata baadhi ya huduma mpaka uchanje, Mh Wsziri haoni dalili ya 666 na mpinga Kristo hapo? Hayatoshi kumstuka hata kidogo?
Hivi utakapo nyakuliwa kwenda kumlaki Bwana Yesu. Baada ya kumlaki mnaenda naye wapi?
Kipindi cha dhiki kuu kitafupishwa kwa sababu ya watakatifu. Hao watakatifu watatoka wapi tena duniani kama watakuwa walisha nyakuliwa na kuekekea mbinguni na Bwana Yesu? Mh Waziri kama Mkristo anaye enda Kanisani anafikiri ile miaka 1000/Melinia ya utawala wa Yesu hapa duniani itatokea lini? Kama si baada tu ya Yesu kurudi mara ya pili hapa duniani?
Hivi waliopigwa chapa 666 ya mpinga Kristo watakuwa na nafasi tena ya neema ya kuokoka? Maana sababu ya chapa na fikiri ni alama ya ownership au ubatizo wa shetani kwa maneno mengine kutakuwa na kutoka huko tena kweli?