Inaonekana huyu bi mkubwa anapenda kamchezo hako sema bwana mkubwa hamfikishi kileleni. Mnaoweza kumfisha mtaarifuni ili mmsaidie
My babe π€£π€£π€£π€£
!nyiramba huyo bwashee!Inaonekana huyu bi mkubwa anapenda kamchezo hako sema bwana mkubwa hamfikishi kileleni. Mnaoweza kumfisha mtaarifuni ili mmsaidie
Dr Aron Chiduo!Jaman naomba kumbukizi ya baadhi tu wa mawaziri wa Afya mnaowafahamu tukiwacha wale wa AWAMU ya Tano na Awamu hii
Naomba kwa unyenyekevu sana kuna jambo nataka kuliangalia
Natanguliza shukran
Hahahaaaaa hadi kiuno anajua kunyonga!Hahaha Father of All hakuna asiyekapenda buana...
Furaha ni maamuzi binafsi
View attachment 1898797
Nyani Ngabu
Anayemweza huyo ni Madelu mshikilia mapesa ya nchi na waziri wa maji, tu!!nyiramba huyo bwashee!
Kkkkkk ila wapo wanaopenda zaidi ya wengine kama huyu bi mkubwa.Hahaha Father of All hakuna asiyekapenda buana...
Furaha ni maamuzi binafsi
View attachment 1898797
Nyani Ngabu
Kkkk nimekuelewa maana Singida sio nchezo. Tena wao dezo siyo kama akina iwe na manka!nyiramba huyo bwashee!
Huu mcharuko ndiyo maana Askofu Rashid anauchanaga live.
Hahahaaaa....... Kule ukiweka al kasusu wao wanaweka " Limbwata"Kkkk nimekuelewa maana Singida sio nchezo. Tena wao dezo siyo kama akina iwe na manka
Diiih....My babe
I just love her
Mama D, mbona mi sijaelewa π€
Mliokaribu na Dr Gwajima, Waziri, mwambieni aache bla bla, serikali inakinadi watoto na wamama wajawazito huduma ni Bure, mahospital kaibu yote nchini, huduma hiyo sio Bure, aache mipasho na kulumbana, atenge muda kulifuatilia hili, anapotea kwenye ulingo wa siasa very soon
Mama D nifanyie connection na huyu dr nimpelekee moto aisee.