SahihiUsimwamini sn Gwajima ni msanii
Yeye anaamini polisi zaidiSahihi
Duh! πππn
naomba mawasiliamo Yako
Hujambo? Tusifanye kazi kwa mihemuko tukaacha sheria halafu baadae tunaanza kupeana lawama kwa jina la walikurupuka.Gwajima polisi wanabaka amekaa kimya,polisi wenyewe wanabaka hiyo kesi Haina maana
Tuendelee kushirikiana daima, mafanikio yetu yapo kwenye ushirikiano wetu na jamiiIimeisha hiyo,waziri yuko active sana
Hakika ingekuwa vema sana maana majukumu ya serikali ikiwemo ya huduma kwa jamii yamegatuliwa kutoka Serikali kuu yakapelekwa waliko wananchi yaani serikali za mitaa yao na vijiji vyao, wakapewa na halmashauri yao na baraza lao madiwani bado na mkuu wa wilaya na vyombo vyote.hizi taarifa ungezipeleka polisi,uingozi wa mtaa kuna kitu wangefanya.
Mheshimiwa, kwanza hongera yako kuwa muungwana na kusaidia kufikisha hili jambo sehemu husika.Hakika ingekuwa vema sana maana majukumu ya huduma kwa jamii yamegatuliwa kutoka Serikali kuu yakapelekwa waliko wananchi yaani serikali za mitaa yao na vijiji vyao, wakapewa na halmashauri yao na baraza lao madiwani bado na mkuu wa wilaya na vyombo vyote.
Bado ofisi ya mkuu wa mkoa ipo na kuna wizara ya Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa pia.
Sasa huwa ni mtihani mwananchi anatoka huko moja kwa moja wizarani, sijafahamu changamoto ni elimu kuhusu kujua hii mifumo na nguvu zake na wajibu wake au kuna changamoto Gani?
Anyway, pamoja na hayo, mimi kama mtumishi pia, nikiona mtu kaja kwangu nampokea tu namuongoza kwenye utaratibu, mengine hayo baadae. Haya tuendelee kushirikiana.
Hili jambo tayari nimewasilisha ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha tuone wapi tutafika nalo.
Mbarikiwe wote wanaopongeza na kulaumu pia, wote pokeeni baraka za Mungu wa mbinguni ππ½
Mheshimiwa, kwanza hongera yako kuwa muungwana na kusaidia kufikisha hili jambo sehemu husika.
Nafikili kuna tatizo kwa ngazi za chini. Inaelekea mpaka huyu anawalipotia mtandaoni,ni baada ya kutoona hatua yoyote ikichukuliwa kwa mharifu. Mara nyingi,mtu anatakiwa aende na ushahidi. Polisi au viongozi wengine,kwenye mambo kama haya, huanza kudai mfuta.
Mheshimiwa,hili lenyewe linkatisha tamaa. Kwa hiyo,kuna wakati mtoa mada anaonona tu alichie hivo hivo.
Pia,wapo ambao hawataki ijulikane ndo wametoa taarifa,sababu labda ni majirani au watu wa karibu.
Na uichoke kupokea na kuetea wanyonge na wasio na nguvu,kwanza kukufikilia kwamba unaweza walau ukatoa neno,ni heshima kubwa. Tunajua majukumu ni mengi.
Labda kwa cheo ulichonacho,n wahusika,mungeweka namba ya kutolea taarifa za aina hiyo, ipokee,iombe taarifa zate za mhimu,owasiline na wahusika wa eneo la tukio,lishughulikiwe.
Binafsi naipenda JF,kuna mambo mtaani yanakera,ila,hakuna jambo linaloshindikana likishakuwa humu na kuonekana lina uzito.

Ahsante Sana kwa maoni yako. Wizara tayari ina kituo hiki hapa cha mawasiliano na jamii. Tunatangaza sanaz tusaidiane tu. Tena hizi namba ukipiga wasipopokea, andika ujumbe tuma ubaki na ushahidi. Ukiona sasa ngazi zote hawasikilizi, niandikie waziri ujumbe nitumiwe kwenye namba yangu ya kwanza ni 0765345777 na ya pili nakala ni 0734124191.Mheshimiwa, kwanza hongera yako kuwa muungwana na kusaidia kufikisha hili jambo sehemu husika.
Nafikili kuna tatizo kwa ngazi za chini. Inaelekea mpaka huyu anawalipotia mtandaoni,ni baada ya kutoona hatua yoyote ikichukuliwa kwa mharifu. Mara nyingi,mtu anatakiwa aende na ushahidi. Polisi au viongozi wengine,kwenye mambo kama haya, huanza kudai mfuta.
Mheshimiwa,hili lenyewe linkatisha tamaa. Kwa hiyo,kuna wakati mtoa mada anaonona tu alichie hivo hivo.
Pia,wapo ambao hawataki ijulikane ndo wametoa taarifa,sababu labda ni majirani au watu wa karibu.
Na uichoke kupokea na kuetea wanyonge na wasio na nguvu,kwanza kukufikilia kwamba unaweza walau ukatoa neno,ni heshima kubwa. Tunajua majukumu ni mengi.
Labda kwa cheo ulichonacho,n wahusika,mungeweka namba ya kutolea taarifa za aina hiyo, ipokee,iombe taarifa zate za mhimu,owasiline na wahusika wa eneo la tukio,lishughulikiwe.
Binafsi naipenda JF,kuna mambo mtaani yanakera,ila,hakuna jambo linaloshindikana likishakuwa humu na kuonekana lina uzito.
Mhe kama upo humu basi tusamehane tujenge Tanzania wote, mawaziri wenzio wengi ni wa hovyo na huwa hawajibu jumbe zetu kwa kiburi na dharau lakini kama umejibu na ni member hapa pasi tunakuombea maisha marefu.Ahsante kwa maoni yako na Mungu akubariki sana
Polisi hii hii?Nenda katoe taarifa polisi.