Simba chawene unajipigia debe lakini hufai umeshindwa kuongoza familia yako kulea watoto wako kimaadili alafu tukupe uwaziri mkuu uongoze nchi
 
Chadema watashinda Kwa zaidi ya 60%
1:Mzee Mbowe Rais
2: Lema -Waziri wa mambo ya ndani
3: Tundu Lissu -Waziri wa sheria
4:John Mrema-Waziri Mkuu
5:Sugu-Waziri wa Michezo
6: Heche -Waziri wa Afya
7:Wenje-Waziri wa Maji
8: Mukya - Tamisemi
9:Mnyika - fedha
10: Kileo : Bunge sera na uratibu
11: Malisa : Sayansi na Technolojia
Kama kuna eliesahaulika nishtueni🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
1:Mzee Mbowe Rais
2: Lema -Waziri wa mambo ya ndani
3: Tundu Lissu -Waziri wa sheria
4:John Mrema-Waziri Mkuu
5:Sugu-Waziri wa Michezo
6: Heche -Waziri wa Afya
7:Wenje-Waziri wa Maji
8: Mukya - Tamisemi
9:Mnyika - fedha
10: Kileo : Bunge sera na uratibu
11: Malisa : Sayansi na Technolojia
Kama kuna eliesahaulika nishtueni🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
unaota kaka amka usingizini
 
1:Mzee Mbowe Rais
2: Lema -Waziri wa mambo ya ndani
3: Tundu Lissu -Waziri wa sheria
4:John Mrema-Waziri Mkuu
5:Sugu-Waziri wa Michezo
6: Heche -Waziri wa Afya
7:Wenje-Waziri wa Maji
8: Mukya - Tamisemi
9:Mnyika - fedha
10: Kileo : Bunge sera na uratibu
11: Malisa : Sayansi na Technolojia
Kama kuna eliesahaulika nishtueni🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Ndugu, naona umeamua kutuchangamsha kidogo.
 
Sawa. Lakini kiuhalisia kwa mwaka 2025 uwezekano wa upinzani kushinda ni kiasi gani?
Kwa uchaguzi gani wa wapinzani kushinda? Tanzania hakuna uchaguzi Bali maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Simba chawene unajipigia debe lakini hufai umeshindwa kuongoza familia yako kulea watoto wako kimaadili alafu tukupe uwaziri mkuu uongoze nchi
Mawazo yako hayako sahihi ndugu, fatilia nyuzi zangu utagundua kuwa unakosea.
 
Back
Top Bottom