Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,752
Acheni upuuzi wenu mnataka aongee macho taka nyie, kubalini deal zenu zimebuma, go Mwakyembe tupo wengi tunaokuelewa na fanya kazi achana na vibaraka wa kutoka saccos waendelee kupiga kelele
Well said, jamaa hawa taabu tupu mbinu zao hazitofautiani na mbinu za Seneta wa huko Marekani na genge lake, kila siku wapo kwenye njozi za mchana za kujaribu kukwamisha Serikali ya Trump ili asifanikiwe - na hapa kwetu watu wenye akili fyatu kama za McCaine na gege lake wapo, si wengi lakini wapo, jaribu kufatilia comments zao zisizo na staha wala mantiki ndiyo utajua Tanzania kama Taifa we still have a long way 2 go - I am not kidding, ukweli ndio huo.