Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,802
- 1,293
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake iko kwenye mkakati wa kurejesha katika hadhi muziki wa Dansi kwa kuwa muziki huo umewahi kutumika hata kwenye ukombozi.
Amesema muziki wa Dansi umeshuka kutokana na masoko, ambapo amesisitiza kufufuliwa kwa muziki huo akitaka vikundi vya dansi vikopeshwe kupitia mfuko wa Utamaduni.