Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,299
- 6,314
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanyika leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.